Tutasamehe wabakaji waliohukumiwa kifungo cha maisha na kuwakaribisha ikulu kunywa chaiUshauri kwa bodi Parole, December tuna sherehe za uhuru, kama kawaida Amiri jeshi mkuu anatoa msamaha.
Punguzeni vigezo mfano
wale waliokaa mahabusu muda mrefu kesi zaidi miezi 6
Kesi za kisasa ,
Kesi za makosa madogo uchochezi
Makosa mitandaoni
Hukumu makosa madogo endapo katumikia robo vifungo yatosha.
Kwa ufupi jela juma moja ni adhabu tosha.
Pia wale wa vifungo virefu tuwape mafunzo maalumu wazalishe,viwanda ni,mashamba ni nk.
Kilimo cha kisasa kinaajiri watu wachache. Wafungwa 300 trained mechanised. waweza lisha magereza yote na ziada.Wale wa makosa ya muda mrefu wafundishwe mitambo .Ziada wauzie taasisi za umma mashule.Wangeanzisha pia magereza makubwa kwenye mikowa inayo zalisha chakula ili serikali ijiongezee kipato kuliko kuchukuwa hela za wastaafu.
Kilimo cha kisasa kinaajiri watu wachache. Wafungwa 300 trained mechanised. waweza lisha magereza yote na ziada.Wale wa makosa ya muda mrefu wafundishwe mitambo .Ziada wauzie taasisi za umma mashule.
Chadrama mcharuko mizee ya kukurupuka walahiTutasamehe wabakaji waliohukumiwa kifungo cha maisha na kuwakaribisha ikulu kunywa chai
Wewe usipende kunukuu posti zangu koma kabisa we deliciousChadrama mcharuko mizee ya kukurupuka walahi View attachment 946364
Mu ignore tu na walahi Zake.Wewe usipende kunukuu posti zangu koma kabisa we delicious
si kweli kila mtanzania ana ndugu jamaa au rafiki gerezani mimi ni mmoja wao.Kila Mtanzania ana Ndugu,rafiki ama jirani gerezani. Tuwakumbuke hawana nafasi na fursa kama yetu kushawishi wafanyabiashara maamuzi.
japo kila mtu ni Mfungwa mtarajiwaKila Mtanzania ana Ndugu,rafiki ama jirani gerezani. Tuwakumbuke hawana nafasi na fursa kama yetu kushawishi wafanyabiashara maamuzi.
mkuu elewa hicho nilichokuambia sina ndugu, rafiki wala rafiki wa rafiki aliepo jela, alafu mimi si malaika ila nakulindieni.😂Unajua tafsiri ya Neno Jamaa na Jirani basi kama hujawahi kuwa na Ndugu,rafiki ,jamaa ama jirani gerezani Wewe malaika si wa dunia hii.