Wakati ya crisis ya COVID, Mafuta yalishuka bei na supply ikawa kuubwa sana kiasi cha baadhi ya mataifa kukosa storage na kuyagawa bure au kwa bei bwerere.
INAMAANA WATU WETU MLISHINDWA KUFORECAST NA KUYACHUKUA HAYO MAFUTA HATA KWA KUNUNUA TANKERS aka meli na kuyaweka storage mahala, tulishindwa hata kupump hela na kuwa na large underground storage tanks na other facilities for our future benefits-
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala US.