Pole sana mkuu....Naamini utapenda tena japo haijulikani ni lini?hapa huwa ni wakati mgumu mno katika maisha! hakuna kipindi kigumu kama hiki! nilitamani hata kufa! ila nashukuru walionipa councilling! walinifanya nirudi kuwa normal japo hadi sasa sina hisia za mapenzi hata kidogo
its true..Ni kweli inaumiza sana,ila kinachotakiwa ni kujipa muda,muda huponya majeraha,uhusiano unapokufa ni vizuri kutulia,anza uhusiano mwingine ukiwa fresh kabisa,kosa kubwa kuanza uhusiano ukiwa na stress utajikuta unaruka mkojo unakanyaga mavi.
Dedication: Serebuka by Mwasiti.
Asante..kama unajua kuna kusubiri muda muafaka kwanini tunaambiwa tuna chagua sana?