The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 269
- 459
Tafuta hela ndio nguvu za kiume.Tusichoshane👍Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.
Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume.
Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa wanaume wenzangu.
Wengi wametapeliwa mamilioni ili kutibu Tatizo hilo na bado hawaponi.
Kama hukuzaliwa hanithi ila tu uume wako umeanza kulegea ama kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa,hii hapa ndo Tiba.
1.TIBA YA KIROHIO
Inawezekana Tatizo lako lilitokea baada ya wewe kutembea na mwanamke usiyemjua,ktk ulimwengu wa Roho Kuna wanawake wana mikosi,nuksi na hata laana,Kuna wanawake ukitembea nao tu unafukuzwa kazi,au kufa kabisa au nguvu zako za Kiume kupotea jumla.
Hili jambo watu wengi mno hawajui kabisa,tiba yake siyo waganga wa kienyeji,ni maombi makali kupitia watumishi wakubwa wa Mungu na kutumia vifaa vya kiroho kama maji ya upako au mafuta ya upako.
Nakuhakikishia kabisa utapona.
2.TIBA YA KISAYANSI
Endapo Tatizo lako halihusiani na mambo ya kiroho niliyotaja hapo juu basi usipoteze pesa zako kwa Madokta feki wanaotangaza Dawa kwenye TV. Tumia Dawa hizi rahisi kabisa kuzipata.
1.Kula majani ya mpera matatu kila siku,yatafune kama mbuzi na umeze mwezi mzima.
2.Kunywa yai bichi la kuku wa kienyeji kwa siku 21.
3.Kunywa asali mbichi vijiko vitatu mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.
4.Kula sana karanga kwa siku au korosho( siyo bibo)
5.Kunywa kahawa vikombe viwili kwa siku,usitumie kabisa majani ya chai.
6.Kula karoti hata moja tu kila siku kwa mwezi mzima.
7.Kunywa maji kila siku yasiyopungua Lita moja.
8.Acha kunywa pombe na acha kuvuta sigara.
Fanya hayo utarudi humu Kunishukuru.
Siyo lazima utumie vyote kwa siku,Tumia kadri unavyowezaNawaza tuu 🤔🤔
Yaani mtu ule majani ya mpera kama mbuzi hapo hapo nije nitafune karanga, korosho, mida ya mchana nije kunywa Yai bichi la Kuku wa kienyeji, maji Lita Moja , badae tena nishushie karoti na kikombe cha kahawa 😁😁
Nashindwa kuelewa mleta mada fafanua vizuri kama Kuna ulazima wakutumia vyote
Kuna watu wanaiingiza milioni 100 kwa mwezi na hawadindishi acha ujuaji weweTafuta hela ndio nguvu za kiume.Tusichoshane👍
Vingine vinaenda mgongoni.Kwa tumbo lipi uweke vyote hivyo tumboni?
,yatafune kama mbuzi na umeze mwezi mzima.
😳Kunywa maji kila siku yasiyopungua Lita moja.
Tengua hii kauli.yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume.
Kwani ni lazima jombaa? Mbona kuna mambo mengi ya muhimu duniani kuliko hilo?Kuna watu wanaiingiza milioni 100 kwa mwezi na hawadindishi acha ujuaji wewe
Matumizi ya kahawa kwa wingi au muda mrefu sio salama sana kwa afya yakoHakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.
Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume.
Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa wanaume wenzangu.
Wengi wametapeliwa mamilioni ili kutibu Tatizo hilo na bado hawaponi.
Kama hukuzaliwa hanithi ila tu uume wako umeanza kulegea ama kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa,hii hapa ndo Tiba.
1.TIBA YA KIROHIO
Inawezekana Tatizo lako lilitokea baada ya wewe kutembea na mwanamke usiyemjua,ktk ulimwengu wa Roho Kuna wanawake wana mikosi,nuksi na hata laana,Kuna wanawake ukitembea nao tu unafukuzwa kazi,au kufa kabisa au nguvu zako za Kiume kupotea jumla.
Hili jambo watu wengi mno hawajui kabisa,tiba yake siyo waganga wa kienyeji,ni maombi makali kupitia watumishi wakubwa wa Mungu na kutumia vifaa vya kiroho kama maji ya upako au mafuta ya upako.
Nakuhakikishia kabisa utapona.
2.TIBA YA KISAYANSI
Endapo Tatizo lako halihusiani na mambo ya kiroho niliyotaja hapo juu basi usipoteze pesa zako kwa Madokta feki wanaotangaza Dawa kwenye TV. Tumia Dawa hizi rahisi kabisa kuzipata.
1.Kula majani ya mpera matatu kila siku,yatafune kama mbuzi na umeze mwezi mzima.
2.Kunywa yai bichi la kuku wa kienyeji kwa siku 21.
3.Kunywa asali mbichi vijiko vitatu mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.
4.Kula sana karanga kwa siku au korosho( siyo bibo)
5.Kunywa kahawa vikombe viwili kwa siku,usitumie kabisa majani ya chai.
6.Kula karoti hata moja tu kila siku kwa mwezi mzima.
7.Kunywa maji kila siku yasiyopungua Lita moja.
8.Acha kunywa pombe na acha kuvuta sigara.
Fanya hayo utarudi humu Kunishukuru.
Na kuna watu wanadindisha ila hana hata uhakika wa kula.Kuna watu wanaiingiza milioni 100 kwa mwezi na hawadindishi acha ujuaji wewe
Yai bichi Lina kupa pitch ya sauti ya KWANZA sasa na nguvu za kiume zimezorota, damn!Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.