Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Mmmm!! Wanasema Kwenye wengi haliaribiki jambo, lakini vichochoroni humo Kwenye pm Mie naogopa mwaya...
Huko Kwny Wengi Nimeona Mizaa Tupu,na mada nyngne ni nyeti sio za kuweka humu
Huko Kwny Wengi Nimeona Mizaa Tupu,na mada nyngne ni nyeti sio za kuweka humu
Cheo chako please we ni
Mchungaji,sheikh,padre au nani?
Heee una mda wa kuwa online 24 hrs kila siku?
Wewe ni mtaalamu wa masuala ya Mungu na Mtalaamu wa Ndoa tu?
Muda Ninao Kwani Kwangu Vocha Sio Tatzo, Ww Njoo Huku Pm