Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

WhatsApp Image 2020-01-11 at 08.16.57 (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-01-11 at 08.16.57.jpeg
JENEZA LIMEBEBWA.jpg
JENEZA LIPO MSIKITINI.jpg
JENEZA.jpg
LINASWALIWA JENEZA.jpg
MAITI YA QABOOS.jpg
MSIKITINI.jpg
SULTAN HAYTHAM ABEBA JENEZA.jpg
SULTAN QABOOS DIE.jpg
SWALATI JENEZA.jpg
MRITHI WA QABOOS SULTAN HAYTHAM BIN TWARIQ.jpg
QABRI LA SULTAN QABOOS.jpg

LEO NDIO SIKU YA MAZISHI ALIYEKUWA SULTAN WA OMAN SULTAN QABOOS BIN SAID AL-SAID
 
SULTAN MPYA WA OMAN AMEAPISHWA KWA JINA ANAITWA SULTAN HAYTHAM

BIN TWARIQ.
SULTAN HAYTHAM MRITHI QABOOS.jpg

 
Tindikali, Oman raia wa kawaida wanavyofaidi huduma za kijamii usifananishe na hapa Tanzania ...sifahamu kuhusu siasa za ndani ila wametupita nchi nyingi za kiafrika kwa huduma za kijamii na kabla ya utawala wake Oman ilikua vumbi tupu ...na mwanzo wa utawala wake watu waliacha kazi Afrika wakaenda Oman na wakapata nyadhifa za juu katika utawala wake ...siweI kuelezea zaidi ila muda mwengine tusicomment upuuzi kwa mambo tusiyoyajua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoman Zanzibar ndo center yao ...hawawezi kuiacha katika mawazo yao ...hata wale magwanda ya kijani wa Zanzibar wanaikhofia Oman japokuwa serikali ya Oman haina mpango na Zanzibar zaidi ya udugu wa damu raia wa sehemu hizi mbili Mine eyes,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oman raia wa kawaida wanavyofaidi huduma za kijamii usifananishe na hapa Tanzania ...sifahamu kuhusu siasa za ndani ila wametupita nchi nyingi za kiafrika kwa huduma za kijamii na kabla ya utawala wake Oman ilikua vumbi tupu ...na mwanzo wa utawala wake watu waliacha kazi Afrika wakaenda Oman na wakapata nyadhifa za juu katika utawala wake ...siweI kuelezea zaidi ila muda mwengine tusicomment upuuzi kwa mambo tusiyoyajua!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ati nime comment upuuzi?

Cheki huu uharo ulioutapika hapa:

Watu waliondoka kwenda Oman kupata "nyadhifa za juu katika utawala!"

Hayo ndo maendeleo? High ranking government employment ???

Kama unapima maendeleo kwa fursa za "nyadhifa za juu katika utawala" basi Tanzania tumewazidi! Don't be ridiculous.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom