Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,669
- 12,044
Katika wabunge ambao binafsi nawakubali basi huyu jamaa mimi kwa upande wangu nampa nafasi yakwanza.
Mh Suleiman Bungala maarufu kama Bwege.
Huyu mtu licha ya kuwa na comedy nyingi bungeni lakini kiukweli ni mbunge makini sana na mstarabu mno katika uchangiaji wake.
Daima yeye hujikita katika kutetea jimbo lake, yeye huwa hana muda na mambo yasiyo muhusu.
Akisimama anaongelea matatizo na kero za wananchi wake na si vinginevyo.
Anatambua ni nini alichotumwa na wananchi wake.
Hakika ni mfano wakuigwa, niseme tu ukweli kuwa wananchi wa kilwa mmepata mtetezi haswa, shirikianeni vizuri na mbuge wenu mtapata maendeleo kwasababu anafanya kile mlichomtuma.
Bila kupepesa macho niseme tu hongera mh Bwege, ongeza bidii kutetea wananchi wako siasa za hovyo waachie hao wanaotaka umaarufu bali wewe piga kazi kwa niaba ya watu wako.
"Kila unavyomuumiza mtu wa Kilwa basi ndivyo anavyozidi kuipiga CCM na kila mnavyotatua matatizo ya mtu wa Kilwa ndivyo anavyozidi kunichagua kila awamu" in Bwege voice.
CCM mlisahau hili jimbo. Hapa ni Bwege tu atatamba.