Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 287 Jan 7, 2011 #1 Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI.. Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari... Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome:
Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI.. Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari... Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome:
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,309 Jan 7, 2011 #2 Tam tam
Makindi N JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 1,066 Reaction score 177 Jan 7, 2011 #3 Sukari ya Mwinyi hiyo ya kukukesha hoi!
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 287 Jan 7, 2011 Thread starter #4 Rose1980 said: Tam tam Click to expand... Tam tam.... ka kachori za kihindi?
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 287 Jan 7, 2011 Thread starter #5 Makindi N said: Sukari ya Mwinyi hiyo ya kukukesha hoi! Click to expand... ipi hiyo?
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jan 7, 2011 #6 Hilo fumbo nalo!!! Nadhani waongelea pilipili sasa sio sukari tena, na imeingia kwenye sukari! Hapo solution ni kuwa na maji pembeni, walamba kisha wapooza!!!lol
Hilo fumbo nalo!!! Nadhani waongelea pilipili sasa sio sukari tena, na imeingia kwenye sukari! Hapo solution ni kuwa na maji pembeni, walamba kisha wapooza!!!lol
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Jan 7, 2011 #7 Rose1980 said: Tam tam Click to expand... helo da Rose!
Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 132 Jan 7, 2011 #8 tafsda zinaotumia siku hizi!!!
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Jan 7, 2011 #9 Lady N said: tafsda zinaotumia siku hizi!!! Click to expand... Duh - Lady N nimependezwa na matumizi ya hilo neno!
Lady N said: tafsda zinaotumia siku hizi!!! Click to expand... Duh - Lady N nimependezwa na matumizi ya hilo neno!
T theusmoses Member Joined Dec 23, 2010 Posts 22 Reaction score 0 Jan 7, 2011 #10 sukari tamu jamani hasa igusapo ulimu mwenyewe wasikia viungo vyote vyalegea kwa utamu haaahahahahah
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 287 Jan 7, 2011 Thread starter #11 Lady N said: tafsda zinaotumia siku hizi!!! Click to expand... lakini siii...natumia neshno langweji au...?
Lady N said: tafsda zinaotumia siku hizi!!! Click to expand... lakini siii...natumia neshno langweji au...?
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,152 Reaction score 9,268 Jan 7, 2011 #12 mmmmhhhh ni ile taaaaaaaamu kuliko sukari lol
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,309 Jan 7, 2011 #13 Mkeshahoi said: Tam tam.... ka kachori za kihindi? Click to expand... zile ulizoniletea juz!!!!!!
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 293 Jan 7, 2011 #14 imekuwa sio sukari tena imekuwa balaa mgeni huyu balaa
Ms Judith JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 2,563 Reaction score 932 Jan 7, 2011 #15 sukari ni njia aliyopitia mkeshahoi kuja duniani. glory to God!
U Uncle Jei Jei JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,683 Reaction score 2,157 Jan 8, 2011 #16 Mmh!!mkesha hoi balaaa!leo sukari imegeuka kuwa njia badala ya kiungio!???
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,231 Jan 8, 2011 #17 Huyo ni mgeni asiyetakiwa,halafu kajikaribisha mwenyewe chumbani na kutoka kakataa na wenye nyumba kumfukuza hawawezi.
Huyo ni mgeni asiyetakiwa,halafu kajikaribisha mwenyewe chumbani na kutoka kakataa na wenye nyumba kumfukuza hawawezi.
Lady N JF-Expert Member Joined Nov 1, 2009 Posts 1,914 Reaction score 132 Jan 8, 2011 #18 Mkeshahoi said: lakini siii...natumia neshno langweji au...? Click to expand... yes, na nimekusoma vilivyo
Mkeshahoi said: lakini siii...natumia neshno langweji au...? Click to expand... yes, na nimekusoma vilivyo
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Jan 8, 2011 #19 Mkeshahoi said: Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI.. Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari... Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome: Click to expand... Sukari imeingia sumu dude kwa sox
Mkeshahoi said: Ingekuwa kwenye UJI tungekunywa CHAI.. Ingekuwa kwenye CHAI tungekunywa UJI Lakini...Ipo kwenye Sukari jamani... n a wote twapenda sukari... Sukari hii ni ipi wakuu?:welcome: Click to expand... Sukari imeingia sumu dude kwa sox