Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Ole sabaya yuko wilaya ya HaiKwani Ole Sabaya si alishapita kukagua au
Sakata la sukari ni zito, sana na halihitaji nguvu kurishughulikia, hata hao ma RC, DC, wanacheza ngoma wasioijua kwa matamko tu, demand inapokuwa kubwa kuliko supply, ni wazi tu kutakuwa na shida!!!! Ni matokeo ya kufanya mambo ki zima moto!!! Leo waziri anakwambia eti corona imechangia upungufu wa sukari nchini, na mzee wa kuibuka (unatengeneza tatizo, kisha una kuja kulitatua ki zima moto) watu wana kuona shujaa!!! Kuna watu watatolewa KAFARA, ili kutuliza hali, kuongoza watz raha sanaa!!!Wakati wananchi wakikabiliwa na janga LA Corona ..mateso mapya ya ukosefu wa bidhaa muhimu ya sukari yameibuka upya Mara baada ya bidhaa hiyo kuadimika madukani katika jiji la Arusha na majumbani mwa watu tangu wiki iliyopita.
Serikali imelalamikiwa na wananchi wakidai kuwa kwann ipo kimya kuzungumzia suala hilo huku baadhi ya wafanyabiashara walioficha wakiwauzia wananchi kwa siri hadi sh 4500 kilo moja.
mwenyewe hana ya kunywa chaiKwani Ole Sabaya si alishapita kukagua au
Swali lako nimelielewa sanaKwani Ole Sabaya si alishapita kukagua au
Kilo ya Sukari ni Sh ngapi kwa sasa?Wakati wananchi wakikabiliwa na janga la Corona .. mateso mapya ya ukosefu wa bidhaa muhimu ya sukari yameibuka upya Mara baada ya bidhaa hiyo kuadimika madukani katika jiji la Arusha na majumbani mwa watu tangu wiki iliyopita.
Serikali imelalamikiwa na wananchi wakidai kuwa kwann ipo kimya kuzungumzia suala hilo huku baadhi ya wafanyabiashara walioficha wakiwauzia wananchi kwa siri hadi sh 4500 kilo moja.