Hicho ni kama tu boshen
Serikali magegoo.km ina meno iwang'ate mo dewji na Zakaria mmiliki wa puff soap pale al-hamza bugurun/matumbi.ndo wadau wakuu wa sukar nnchini.walishauza kwa Bei juu kwa wafanyabiashara wa kat,so tusilalamike kuhus bei wkt wakulima wa miwa wameshindwa kuuza miwa yao kwa viwanda vya sukar kwa 7bu ya udhaif wa serikali yetu wenyewe.yaan ukiijua hii mechanism unabak unaumia tuKutoka na Changamoto iliopo sasa inaonekana sukari haipo madukani na wengi wakisema wafanya biashara wameficha.
Ili serekali iweze kupambana na hii hali iseme kila mfanyabiashara wa kati anae nunua sukari kwa ajili ya walaji ni lazima awe na risiti ya TRA kama ilivyo kawaida na aitunze hata kwa kutoa copy ionyeshe vyema jina aliko nunua vyema tarehe na bei.
Pia wanunuzi wakubwa hivyo hivyo.
Wakati wanafanya ukaguzi aonyeshe alinunua sh. ngapi na yeye anauzaje kama aliuziwa bei kubwa zaidi ya iliopangwa anayo haki ya kuuza zaidi, wachukue hiyo risiti mpaka kwa alie muuzia nae aonyeshe aliuziwa bei gani mpaka mwisho watamkata mlanguzi.
Ukisema uwabane wafanyabiashara wa wadogo unaweza waonea bure sababu wamekuta bei juu wakaamua kununua ili wasipotezee biashara na wateja .
Serikali magegoo.km ina meno iwang'ate mo dewji na Zakaria mmiliki wa puff soap pale al-hamza bugurun/matumbi.ndo wadau wakuu wa sukar nnchini.walishauza kwa Bei juu kwa wafanyabiashara wa kat,so tusilalamike kuhus bei wkt wakulima wa miwa wameshindwa kuuza miwa yao kwa viwanda vya sukar kwa 7bu ya udhaif wa serikali yetu wenyewe.yaan ukiijua hii mechanism unabak unaumia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya sukari huyawezi,ukiweza nunua ya kwako utumie na familia yako.
Walio juu hawana tatizo na sukari,watu wanapambana na corona pamoja na kuvunja bunge wajue watarejea au vipi.
Waache kina mangi,na muha na mpemba wapige hela kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndiye mwizi wa sukari...ahahahs