Ni kweli sukari imepanda bei.
Japokuwa mimi sio mtaalamu wa uzalishaji wa sukari,ila nadhani tatizo lipo kwenye production.
Viwanda kwa sasa uzalishaji wa sukari umepungua because of raw materials plus maintainance.
Mimi nipo boda ya Kyela-Malawi,sukari imepanda bei hata upande wa Malawi.