Suicide or murder ?

Hii ni murder kwsbb jamaa magongo yake ya kutembelea yako mbali asingeweza kupanda juu ya kiti, pia kwa muonekano wa kitanda na mazingira inaonekana kuna varangati ilitokea
what if magongo siyo yake?
 
1.What if magongo siyo yake au alishapona zamani?.
2.Je kama izo class watoto walikunywa nazo juice asubuhi wakaenda shule?
πŸ˜€πŸ™‚πŸ™‚
 
Aaaaa kumbe wataalam wako kwenye kazi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…