Suicide or murder ?

It's a murder kwa ukaribu aliopo na kitanda kwa maumivu ya kukata roho lazima angerudi tu kitandani.

Vilevile hicho kiti kipo mbali sana hakikupigwa kwa mguu kipo kama kiliwekwa kabisa.

It's a murder
 
Mwee kweli hakuna nilicho elewa.ila nimeona picha ya kuchorwa km sio katuni
 
Hii ni murder kwsbb jamaa magongo yake ya kutembelea yako mbali asingeweza kupanda juu ya kiti, pia kwa muonekano wa kitanda na mazingira inaonekana kuna varangati ilitokea
 
Kajitundika huyo na ukiangalia vizuri mezani kuna kalamu na karatasi kana kwamba kaachia ndugu na jamaa ujumbe
 
It's a murder kwa ukaribu aliopo na kitanda kwa maumivu ya kukata roho lazima angerudi tu kitandani.

Vilevile hicho kiti kipo mbali sana hakikupigwa kwa mguu kipo kama kiliwekwa kabisa.

It's a murder
Aiseee nmecheka sana....shangaaa maumivu ya kufa roho ikiwa inatoka huwa nimakali balaaa.
 
Kuna meza hapo na bilauri mbili si tukae tunywe tuongee?
 
Murder: kwa nn aliacha magongo mbali alitembea je kufika kitandan??
 
Kajitundika huyo na ukiangalia vizuri mezani kuna kalamu na karatasi kana kwamba kaachia ndugu na jamaa ujumbe
That's murder mkuu..
1.hajajitundika huyo kilema cheki magongo yake pembeni ya kabati
2.mezani kuna bilaur mbili ...walika wakanywa weee mwishowe mke kaumua kufanya yake
3.kitandani kuna kitambaa yawezekana ndicho kimetumika kutolea ihai wa jamaa
4.ukutani karibu nakitanda kuna frame ya picha kwa kiasi kikubwa ni picha ya marehemu na mpenzi wake
NB: uwepo wa kalamu na karatasi sio kigezo tosha ku-prove suicide
 
Murder
sababu huyo jamaa ni mlemavu wa miguu na magongo yapo mbali na hapo alitundikwa
 
ni murder lakini muuaji alidhamiria kufanya tukio lionekane kama kama suicide..
kwa sababu maona kitabu na peni kitandani..na mezani kuna karatasi imeandikwa.chini ya meza kuna saa imranguka..it was like marehemu alikuwa anafosiwa aandike..
pili haiwezekan kumtundika mtu akiwa na uzima wake na ufahamu wake..kuna nguo hapo meviringishwa imetumika kumkaba kwanza marehemu..then akamtundika juu kuonyesha kajinyonga.
 
Hiyo ni murder ingekuwa suicide ungeona mkojo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…