sugua kisigino nadhan ni kikorombwezo wanakitumia ktk nyimbo zao!!!
unaongela albamu ipi
MTU PESA
au ...?
Wandugu ninaomba anaeujua jina lake halisi
wimbo wa African Stars band a.k.a Twanga
pepeta International we vionjo vya "SUGUA
KISIGINO" naomba atupie jina lake hapa ili
niweze kuutafuta.
wimbo unaitwa Rafiki adui mtunzi rogate katapila, na mwanadarsalaam mtunzi chaz baba ila nunua albam inaitwa MWANADAR-SALAAM rap ya albam yote ni sugua kisigino. Utaenjoy!
wimbo unaitwa Rafiki adui mtunzi rogate katapila, na mwanadarsalaam mtunzi chaz baba ila nunua albam inaitwa MWANADAR-SALAAM rap ya albam yote ni sugua kisigino. Utaenjoy!