mwasipenjele JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 770 Reaction score 451 Dec 29, 2014 #2 Hii ilikuwa kyela mjini kamanda alivo leta shida juu ya ubovu wa mwakyembe na kuwashukuru wanakyela kwa kuipa chadema mamlaka ya mji mdo kyela kwa kuipa viti vingi katika uchaguz wa selikari za mtaa ambapo Chadema wamepata 29 na CCM 26
Hii ilikuwa kyela mjini kamanda alivo leta shida juu ya ubovu wa mwakyembe na kuwashukuru wanakyela kwa kuipa chadema mamlaka ya mji mdo kyela kwa kuipa viti vingi katika uchaguz wa selikari za mtaa ambapo Chadema wamepata 29 na CCM 26
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Dec 29, 2014 #3 Wananiita Sugu... Naani? Wananiita sugu... Sugu, Sugu, Sugu.. Najua huwezi kuzuia mvua... Sugu ni kama mvua... Na mtoto wa demu wangu ananiita anko Sugu...
Wananiita Sugu... Naani? Wananiita sugu... Sugu, Sugu, Sugu.. Najua huwezi kuzuia mvua... Sugu ni kama mvua... Na mtoto wa demu wangu ananiita anko Sugu...