Sugu: Mawaziri wanakimbizana kutumbua majipu kwa kutaka sifa

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,766
29,721
Mbunge mwenye kura nyingi kuliko yeyote yule amesema mawaziri wanapenda kutafuta majipu ya kutumbua kwa sifa ili kumfurahisha rais, mawaziri wanaona fahari kutengeneza jipu ili baadae waje wayatumbue ili waonekane wanafanya kazi vizuri
 
Ajifunze kuchangia hoja kwa fact sio blah a blaha za majukwaani.
 
Mbunge mwenye kura nyingi kuliko yeyote yule amesema mawaziri wanapenda kutafuta majipu ya kutumbua kwa sifa ili kumfurahisha rais, mawaziri wanaona fahari kutengeneza jipu ili baadae waje wayatumbue ili waonekane wanafanya kazi vizuri

Sasa ebu tupe maoni yako basi...
Mafisadi na weizi waachwe tu waendelee kula mali ya umma??? Au wewe ni mmoja wao aliye tumbuliwa? lete story
 
Siku ukija kuacha kudeki Barabara utanielewa tu.
Kila mtu ana namna yake ya kuchangia mada!

Hii inaweza kuchangiwa na background yake, watu anaokutana nao mara kwa mara na sababu nyinginezo!

Ukitaka achangie kama wewe unavyoona inafaa utabaki kulalamika kila siku!
 
Chadema inapinga utumbuaji wa Majipu, inapinga ukusanyaji kodi eti wanaandamwa wapambe wao, sasa sijui ni sera zao zipi walizosema Magufuli anazitumia?
 
Hivi Mmawia amepotelea wapi? Ndio mada zake za kujidai hizi

Mawio liliandika Mipango yote ya kumtangaza na kumuapisha Seif imekamilika na ataapishwa kabla ya sherehe za Mapinduzi Jan 12,2016
Leo Mwanahalisi limetoka bila ya Makala ya kumshambulia Kikwete na Zitto kumetokea makosa gani ya uandishi au kwa Kuwa Mzee wa Shanga yuko Dom
 
Back
Top Bottom