Safari ya ukombozi ilianza rasmi trh 5 Jan. kwenye mauaji ya Arusha.Maandamano kama kawa sasa hivi. Polisi wamenywea kabisa baada ya mauaji ya Arusha yaliyofanywa na polisi...msicheze na nguvu za Wananchi.
Safi sana, ila taarifa mapema ni muhimu!!!Maandamano kama kawa sasa hivi. Polisi wamenywea kabisa baada ya mauaji ya Arusha yaliyofanywa na polisi...msicheze na nguvu za Wananchi.
Maandamano kama kawa sasa hivi. Polisi wamenywea kabisa baada ya mauaji ya Arusha yaliyofanywa na polisi...msicheze na nguvu za Wananchi.
WAFANYAKAZI wa sekta za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma na binafsi mkoani hapa wamemkataa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile, kupokea maandamano yao ya amani ya kupinga ongezeko la gharama za nishati ya umeme yanayotarajia kufanyika Januari 29, mwaka huu, badala yake wamekubaliana kumteua Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), maarufu kwa jina la Sugu kuwa mgeni rasmi wa maandamano hayo kwa kile walichodai kuwa mkuu huyo wa mkoa (RC) hana uwezo wa kufikisha kilio chao kwa wahusika.
Source: Tanzania Daima.
Hii ni aibu kwa Mkuu wa Mkoa kama wafanyakazi wako hawakuamini utakuwa utakuwa unaongoza kitu gani mkoani mwako, aibu.

Kwa macho ya wananchi nani anakataliwa sasa? Kama Mkuu wa Mkoa aliteuliwa na Jk hatakiwi kupokea maandamano, nani anakataliwa sasa...JK kimbilia Saud na familia yako wata kupokea. Tuachieni nchi yetu tuanza upya....
Ni fundisho kubwa sana hilo kwa serikali, wafanyakazi kuikataa serikali ndio mwanzo wa mapinduzi.
Watu weeeee!! Ephraim Kibonde na Januari Makamba mpo mpaka hapo???
Mwanangu 'Sungu', utaifa mbeeelleee kama tai au sio!!!!!
Hebu kula tano zangu kwanza basi.
Super analysis. TUCTA walishamkataa JK kwa muda mrefu. mwaka jana kwenye sherehe za Mei mosi si waligoma kumkaribisha kama mgeni rasmi. Hii nchi sasa hivi inajiendesha yenyewe. Hata sijui km JK ana cha kutuambia ktk siku 100 zake za kipindi hiki ambazo zinakaribia kuisha.
Hayo maandamano yana kibali?
hili nitatizo, kunakipindi mikutano inafanyika kimya kimya hivyo kuwa nyima furusa wanachadema kuhudhuliaSafi sana, ila taarifa mapema ni muhimu!!!