Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 Dec 29, 2010 #1 Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido. Wanajf mbeya tunaomba updates.
Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido. Wanajf mbeya tunaomba updates.