Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,250
Tuna ujinga mwingi sana, na ni ngumu kupiga hatua kwa akili hizi....Umeandika kwa hisia Kali mkuu ukweli ni kwamba Kuna ujinga watanzania tunao
I love Evelyn saltNdio tuna cha kujifunza kutoka kwa wanasiasa....
Wakati wao wako busy na matumbo yao sisi tupo busy kuwapigia makofi, kushangilia U-CCM na U-Chadema na sio U-Taifa kwanza
Miaka yote bungeni, mpunga alovuta, bila shaka ana vyanzo vingine vya kipato (hotel D) ila bado ana ndoto za kuajiriwa.
Huku huko bungeni tunaambiwa vijana wajiajiri..ila wao hawajiajiri na mitaji wanayo tayari.
#Hii nchi imechezewa sana.
Yaani sijui kwa nini ukiwa CCM lazima ama uwe kilaza au ujitoe akili!!???Kama kawaida jitihada zile zile za kuwanukuu watu out of context.
Kwamba ulicho nukuu hapo ndiyo kuwa Sugu kutofautiana na Mbowe?
Hata ingekuwa awamu ile hakika chaku asingekupa buku 7 kwa bandiko hili!
Hiyo Democracy inakomaa leo ndani ya CCM? mbona Musiba wa hayati Disamburo hawakuhuduria na wakakataa KABISA kuagwa kwake, sasa hapa pengine wa kumsifia kidogo ni mwenyekiti wao wa CCM, sio kuisifia CCM.Kutofautiana ni haki yao na hii inajionyesha jinsi demokrasi ilivyokomaa ndani ya CDM
Maendeleo hayana chamaa!🤓Tuna ujinga mwingi sana, na ni ngumu kupiga hatua kwa akili hizi....
Kuna mambo yanayohitaji siasa/kichama/ uccm na uchadema na kuna mambo ya msingi yanahitaji sapoti ya wananchi siasa zikae kando. Ila haya hatuelewi.
Ilimradi tunapua inatosha.
"Niliwaambia muniretee huyu, nyinyi mukamuchagua bwege, kaeni na huyo bwege wenu...."Maendeleo hayana chamaa!🤓
Eti..??"SUGU" anamaana tume ya uchaguzi itakapokua huru, 2025 lazima atakua Mbunge
Hahahahahah! Alitisha alipoasisi siasa za manunuzi ya waziwazi ya madiwani, wabunge wa vyama viwili tuu; CUF ya Maalim na CDM."Niliwaambia muniretee huyu, nyinyi mukamuchagua bwege, kaeni na huyo bwege wenu...."
SUGU anauhakika wa mapenzi ya wana MBEYA kwake ndio maana ana imani ya uhakika kuwa ikiwepo tume huru ya uchaguzi' 2025 atashinda ubunge.Eti..??
Vipi kama wanachadema wa Mbeya Mjini watapendekeza mtu mwingine kuwa mgombea? Anajuaje kuwa atapendekezwa yeye?
Wajinga ni washabiki wao, Mimi simoNdio tuna cha kujifunza kutoka kwa wanasiasa....
Wakati wao wako busy na matumbo yao sisi tupo busy kuwapigia makofi, kushangilia U-CCM na U-Chadema na sio U-Taifa kwanza
Miaka yote bungeni, mpunga alovuta, bila shaka ana vyanzo vingine vya kipato (hotel D) ila bado ana ndoto za kuajiriwa.
Huku huko bungeni tunaambiwa vijana wajiajiri..ila wao hawajiajiri na mitaji wanayo tayari.
#Hii nchi imechezewa sana.