Sugu atofautiana na Mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi 2025

Mkuu
Katika pitapita zangu mitandaoni nikoana post ya aliyekuwa mbunge wa mbeya mjini "SUGU" akisema ni lazima awe mbunge 2025.
Hii imenishangaza kwa kuwa hadi sasa msimamo wa mwenyekiti pamoja na chama ni kuwa 2025 hawatashiriki uchaguzi bila tume huru wala katiba mpya.
Sasa nashindwa kuelewa maamuzi haya ya sugu anamaanisha tayari tuna katiba mpya na tume huru?
Kwa nini asingeanza kudai hiyo katiba mpya ndio aje na ndoto za ubunge 2025? Au anataka kuhama chama?
Ila pia ni kwa nini anahisi ana haki sana ya kuwa mbunge? Asipokuwa mbunge kwani shida ni nini?
Nilitegemea wananchi wa mbeya ndio waseme na sio yeye kusema eti nilazima nitakuwa mbunge.
Ni kweli nyie mlioonja utamu wa ubunge hamuwezi kufanya jambo lingine lolote zaidi ya kuwa wabunge? Hii tabia ipo hadi CCM , Kuna watu wanaamini wao wamezaliwa kuwa wabunge, hawawezi kufanya jambo lingine lolote zaidi ya kuwa wabunge.
Sugu mbona ulituonyesha kuna biashara zako unafanya na ukasema zinaenda vizuri tu? Sasa tena hii hamu ya kusema lazima uwe mbunge 2025 inatoka wapi tena? Pia umeagana na Mungu kuwa utafika hiyo 2025?
Pesa za ubunge ni tamu sana eeh? Si ajabu uliwasaliti wenzio kwenye movement ya ant-virus, ukavuta mpunga ukawaacha hawana njia.
Kwa kauli yako ya leo nitakupinga hapa na hata hiyo 2025.

View attachment 1822947

Mkuu unacheza na mijihela wanayoipata tena bila kulipa kodi wala mifuko ya hifadhi ya jamii
 
Ndio tuna cha kujifunza kutoka kwa wanasiasa....

Wakati wao wako busy na matumbo yao sisi tupo busy kuwapigia makofi, kushangilia U-CCM na U-Chadema na sio U-Taifa kwanza
Miaka yote bungeni, mpunga alovuta, bila shaka ana vyanzo vingine vya kipato (hotel D) ila bado ana ndoto za kuajiriwa.

Huku huko bungeni tunaambiwa vijana wajiajiri..ila wao hawajiajiri na mitaji wanayo tayari.

#Hii nchi imechezewa sana.
Bungeni ni pesa bure. Sugu ana miaka 10 bungeni lakini hajatosheka tu.
 
Chadema imeshakuwa kama uko kwenye dimbwi la samaki hongwe, kila mmoja ana sharubu. Mwenyekiti anasema hakuna kushiriki uchaguzi, siku mbili baadae yule chizi akatangaza atagombea urais, sasa sugu naye anasema lazima atakuwa mbunge. Sijui tumwamini nani!?
 
Nani aliyemfunga hiyo tie? Tuanzie hapo kwanza

1624076767264.png
 
si huyu mwenyekiti kashasema anastaafu 2023, halafu anawashauri wasishiriki uchaguzi 2025...

Mwana siasa sio mtu wa kumuamini Anachosema leo hatasema hivi kesho vile... Chadema haiwezi kususia uchaguzi mkuu wala wa serikali za mitaa maana itafirisika kisiasa...
 
Katika pitapita zangu mitandaoni nikoana post ya aliyekuwa mbunge wa mbeya mjini "SUGU" akisema ni lazima awe mbunge 2025.
Hii imenishangaza kwa kuwa hadi sasa msimamo wa mwenyekiti pamoja na chama ni kuwa 2025 hawatashiriki uchaguzi bila tume huru wala katiba mpya.

Sasa nashindwa kuelewa maamuzi haya ya sugu anamaanisha tayari tuna katiba mpya na tume huru?

Kwa nini asingeanza kudai hiyo katiba mpya ndio aje na ndoto za ubunge 2025? Au anataka kuhama chama?

Ila pia ni kwa nini anahisi ana haki sana ya kuwa mbunge? Asipokuwa mbunge kwani shida ni nini?

Nilitegemea wananchi wa Mbeya ndio waseme na sio yeye kusema eti nilazima nitakuwa mbunge.

Ni kweli nyie mlioonja utamu wa ubunge hamuwezi kufanya jambo lingine lolote zaidi ya kuwa wabunge? Hii tabia ipo hadi CCM , Kuna watu wanaamini wao wamezaliwa kuwa wabunge, hawawezi kufanya jambo lingine lolote zaidi ya kuwa wabunge.

Sugu mbona ulituonyesha kuna biashara zako unafanya na ukasema zinaenda vizuri tu? Sasa tena hii hamu ya kusema lazima uwe mbunge 2025 inatoka wapi tena? Pia umeagana na Mungu kuwa utafika hiyo 2025?

Pesa za ubunge ni tamu sana eeh? Si ajabu uliwasaliti wenzio kwenye movement ya ant-virus, ukavuta mpunga ukawaacha hawana njia.
Kwa kauli yako ya leo nitakupinga hapa na hata hiyo 2025.

Mwenyekiti wa Chadema Mhe Freeman Mbowe anatakiwa kuwa na "break"! Huwezi kusema mwaka 2025 Chadema haitashiriki uchaguzi. Huu ni ufunyi wa uelewa katika masuala ya kisiasa. Siasa uweza kubadilika hata kwa siku moja! Leo na 2025 ni muda mrefu sana kwa masuala ya kisiasa. Mambo mengi sana yanaweza kubadilika hapa katikati. Mhe. Mbowe na chama chake wanatakiwa kuwa watulivu na kuangalia kwa makini upepo wa kisiasa kwa sasa.

Kama chama, Chadema watambue siasa zimebadilika kidogo, wanatakiwa kujiadjust kidogo kulingana na siasa za wakati huu kuliko kuendeleza siasa zilezile za miaka mitano iliyopita! Chadema kama chama kikuu cha upinzani bado wana nafasi kubwa sana ya kutawala eneo hili hivyo ni jukumu lao kulijua hili na kuja na mtazamo mpya kwa wakati uliopo.

Chadema kama chama, inabidi wapunguze kukaza shingo, kuna mambo yametokea huko nyuma inabidi wasamehe na kuanza ukurasa mpya kuliko kuendelea kubeba mambo yaleyale miaka nenda rudi! Watanzania wanahitaji mabadiliko ya kweli, Watanzania wanahitaji mtazamo mpya wa kuendesha siasa zetu. Tumeona huko nyuma, siasa za kususia chaguzi sio suruhisho sijui ni kwanini hatujifunzi.

Binafsi nakiri uimara wa Mhe Mbowe katika kuiongoza Chadema lakini ni lazima nikiri vilevile kuwa Chadema inahitaji uongozi mpya wenye mtazamo mpya katika siasa za sasa.
 
Back
Top Bottom