angekuwa nazo unafikiri angehangaika na music. Unaonaje ukimchangia kama huwezi then kaa kimyasugu ni hopeless eti atakua na tamasha mbeya! ana dhalilisha ubunge wake,lazima tukubali mtu kuwa mbunge ni kiongozi,yani sugu ameshindwa kupata hela ya maendeleo kwa jimbo hadi aimbe!
Nazani haujamwelewa sugu vizur, amesema sasa hapigi show tena isipokuwa atafanya kwa swala zima la maendeleo. Mfano wikend atakuwa Dar live akipiga show na pesa itakayopatikana itaenda katika mfuko wa maendeleo wa elimu jimbo la Mbeya mjini
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya
mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa
matamasha mbalimbali ya Muziki.
Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji
wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.
Kwa mindset kama hii lazima tusiendelee.....M.Dewji anatumia fedha zitokanazo na biashara zake kutatua matatizo jimboni....the same to Abood..why not SUGU?Nadhani unamwonea mtoa hoja!
Muziki ni biashara kama biashara zingine!
Mtu anapokubali kuwa kiongozi anapaswa kuacha biashara zake zote na kuwawakilisha wananchi!
Ndio maanza tunashangaa mawaziri na wabunge wanaoendelea kufanya biashara na kuwasahau wananchi!
Tunawashangaa wanapoenda kwenye mabenki na kupata mikopo mikubwa mikubwa na kufungua biashara.
Watanzania tubadilike.
Wabunge waache biashara.
mawaziri waache biashara.
Acheni kung'ang'ania tenda! Waacheni wengine wafanye!
Ninyi mmekuwa viranja kuangalia ushindani wa haki.
Hata Sugu aache matamasha ya biashara, ili awawakilishe wananchi na wanamziki wote bila upendeleo.
Baada ya ubunge anaweza kuamua kurudi.
Ila kama ni matamasha ya kuelimisha jamii (sio biashara) hatuna haja ya kumpigia kelele.
Samahani, niko nje
ya hii topic. Nimejaribu miaka mingi nikitaka kujiunga na jamiiforum.
Lakini sijui ni wapi naweza nikiweka a new post. Links zimejificha sana.
Pia hata ukitaka kuweka post yako kwenye category fulani haionekani
hiyo category. Nitafurahi kama nitaemishwa hapa kidogo. Miaka 4
iliyopita nilijaribu lakini nikakuta hii site haiko user friendly.
Nimerudi tena lakini sioni pa kuweka new post ziaid ya kudandia topic za
watu kama hii
Good Point of it!There is more in life than politics.
utumbo wa tatu ni kumwita mbunge wetu joseph haule wakati ye ni joseph mbilinyiaka mr2 aka 2 proud aka suguuumeandika utumbo,sanaa ni taaluma ya sugu na ndiyo iliyomfikisha hapo so hawezi kuitupa.lakini utumbo mwingine ni wewe kushindwa kujua kuwa onyesho la sugu analotarajia kulifanya dar live ni kwa ajili ya kuchangia mfuko wa elimu wa jimbo la mbeya.
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.
Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.
...taratibu kaka..! pilipili usoila yakuwashia nn?
utumbo wa tatu ni kumwita mbunge wetu joseph haule wakati ye ni joseph mbilinyiaka mr2 aka 2 proud aka suguu