Maendeleo yanaletwa kwa kuhimiza watu wafanye kazi kwa bidii, la sivyo wabunge wote waanze kutafuta HELA HUKU NA HUKO HATA IKIWEZEKANA KUFANYA BIASHARA ILI TU KUCHANGIA MAENDELEO.
Maendeleo yanaletwa kwa kuhimiza watu wafanye kazi kwa bidii, la sivyo wabunge wote waanze kutafuta HELA HUKU NA HUKO HATA IKIWEZEKANA KUFANYA BIASHARA ILI TU KUCHANGIA MAENDELEO.
ningekuwa wewe ningewaomba mods waifunge hii thread na kuweka kwenye trash..........aiseeeeSioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.
Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.
Pro-Chadema JF jitokezeni Jumapili Mbagala DAR LIVE mkamsaidie Sugu.
Bangee mbaya sana,kama ulikua ujui ilo tamasha ni kwa ajiri ya kuchangia ujenzi wa shelu kwenye jimbo lake na pili mziki ndio kazi yake nyingine ni sawa na kumwambia tundu lissu aache uanasheria aendelee na siasa tu,stuka wewe reloy!
umenikumbusha huyu kapiteni kweli msanii maana anafanya usanii hadi na watoto wadogo!!Ni sugu pekee au hata kapiteni John Komba?
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.
Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.
sugu ni hopeless eti atakua na tamasha mbeya! ana dhalilisha ubunge wake,lazima tukubali mtu kuwa mbunge ni kiongozi,yani sugu ameshindwa kupata hela ya maendeleo kwa jimbo hadi aimbe!
Fuatisha hapo kwenye nyekundu. Kwa hiyo Tundu Lissu nae atumie kazi yake ya UWAKILI kupata Hela ya kusaidia wanajimbo wa Singida.
Pro-ccm jitokezeni Arumeru kumsaidia mwenyekiti wenu kuuwaPro-Chadema JF jitokezeni Jumapili Mbagala DAR LIVE mkamsaidie Sugu.
Kwani muziki unamzuia kutimiza ahadi zake za kushughulikia kero mbali mbali za wana Mbeya?
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.
Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.
Hofstede hata mimi nisingeifungua hii thread kama usingekuwa umetoa hii elumu wa huyu mvivu wa kufikiri.Ushauri butu sana huu. Mbona hujawaambia madaktari, walimu, wafanyabiashara waliojazana CCM kuwa waachane na biashara au ualimu au qualifications zao kwa kuwa tu wamechaguliwa kuwa wabunge?. Nilitaka nisichangie hii thread lakini tunaambiwa kuwa unapoona upotoshaji ni lazima usahihishe. Reframe your thread to have a great thinkers spices.