mzalendo91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 430
- 138
hii ni kwa yule mmoja tu alie silias
naitwa Okole 22 age mrefu , mnene kiasi ,maji kunde na tafuta mwanamke Wa kunilea nikimaanisha awe na uwezo kimaisha ili niwe Wa kumfurahisha kimapenz nitamfurahisha kima haba hii ni kwa sababu nimechoka kurukaruka na vibaby face saiz nahitaji mmama anaejitambua ktk kumhendo Mme hii ni kwa yule mmoja anaehitaji mume Wa kuishi nae kama upo tayari ni pm saizi
chondechonde naomba uamuzi Wangu uheshimiwe nimeamua mwenyewe kufanya hivi sio muda Wa kuanza kutoa matus kama haikuusu iache kama ulivo ikuta NB : kupima afya zetu ni muhimu au nitafute kwa mathius.hoja@gmail.com ili tuweze kutumiana pic kiurahisi asanteni wana jf
Mbona post yako imekaa kibaguzi hivyo... Mie ni sugar daddy na nilikuwa nnataka nikupe msaada wa kukulelea kwa hiyo ni PM tuweze kuongea vizuri
Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile