Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 766
- 725
LADY ISSAsugar dady, Sugar dady. Sugar daady........
Unihurumie baba yangu ehee. .....
Umasiki si kilema, ni matatizo ya dunia...
Leo kwangu,kwesho kwako....
Kheri kufa masikini. kuliko kusimangiwa......
Kheri kufa masikini. Kuliko kusimangiwa na walimwengu
Tamaa iliua fisi.
Wale wakongwe kama mimi naomba tukumbushane hiki kibao/wimbo aliimba nani maana nimeutafuta usiku kucha mtandaoni nimeukosa ama kama kuna mtu anao uwezo wa kuupata afanye kuutumia humu kama Audio.
Good Morning .....
Yamekusibu yapi tena mkuu? Yaelekea umeandika wimbo huu kwa hisia kali sanasugar dady, Sugar dady. Sugar daady........
Unihurumie baba yangu ehee. .....
Umasiki si kilema, ni matatizo ya dunia...
Leo kwangu,kwesho kwako....
Kheri kufa masikini. kuliko kusimangiwa......
Kheri kufa masikini. Kuliko kusimangiwa na walimwengu
Tamaa iliua fisi.
Wale wakongwe kama mimi naomba tukumbushane hiki kibao/wimbo aliimba nani maana nimeutafuta usiku kucha mtandaoni nimeukosa ama kama kuna mtu anao uwezo wa kuupata afanye kuutumia humu kama Audio.
Good Morning .....
Wala hakuna kilichonisibu. Ila tu nimeikumbuka ile sauti ya yule dada olivyo kama ya kinanda, mashairi mazuri na mziki ni mzuri pia... Yangenisibu ningeshare maana sehem pekee ya kutolea upweke/machungu/dukuduku na stress zote ni hapa jukwani JF.Yamekusibu yapi tena mkuu? Yaelekea umeandika wimbo huu kwa hisia kali sana
Upo sahihi kabisa mkuu, na miziki ya zamani ni kama dhahabu watunzi wake walikua wanaeleza uhalisia wa kinachotokea kwenye maishaWala hakuna kilichonisibu. Ila tu nimeikumbuka ile sauti ya yule dada olivyo kama ya kinanda, mashairi mazuri na mziki ni mzuri pia... Yangenisibu ningeshare maana sehem pekee ya kutolea upweke/machungu/dukuduku na stress zote ni hapa jukwani JF.
😀 😀 😀. Kweli kabisa walikia wapo vizur sana kwenye ubunifu wa mzikiUpo sahihi kabisa mkuu, na miziki ya zamani ni kama dhahabu watunzi wake walikua wanaeleza uhalisia wa kinachotokea kwenye maisha
Congo alikuwepo huyo Lady Issa, Tshala Muana, Mbilia Bell na wengineo. Ujumbe mzuri na sauti zao nyoroooro kabisa za kumtoa nyoka pangoni🤣🤣🤣
Haupo kabisa msamiati huu... Siku hizi imeibuka misamiati mipya kabisaHuu msamiati miaka hii umepotea kabisa HAKUNA SUGAR DADDY. Watu wanabanjuka tu
Mkongo ladyAisee ni kitambo mnoo...
Huyu Lady Issa ni mmbongo!??
Upo sahihi kabisa mkuu, na miziki ya zamani ni kama dhahabu watunzi wake walikua wanaeleza uhalisia wa kinachotokea kwenye maisha
Congo alikuwepo huyo Lady Issa, Tshala Muana, Mbilia Bell na wengineo. Ujumbe mzuri na sauti zao nyoroooro kabisa za kumtoa nyoka pangoni🤣🤣🤣
Huu msamiati miaka hii umepotea kabisa HAKUNA SUGAR DADDY. Watu wanabanjuka tu
Wallah umenikosha kweli Shadeeya hizi ni zile enzi za ujana, wakti huo Mbilia Bel akiwa na sauti kinanda kwelikweli