ngoja chief mkwawa atakuja punde
chief-mkwawa yeye ni mzee wa Nokia, hayo mengine hua anasaidia tu, hivyo inatupasa pia tuwatambue wataalam wa aina nyingine za simu.
CHIF-mkwawa hv Kuna Hco 1:1 clone za IOS na Windows??? maana Naona za Androids Tuu... Hata Symbian Sjawah Ona
CHIF-mkwawa hv Kuna Hco 1:1 clone za IOS na Windows??? maana Naona za Androids Tuu... Hata Symbian Sjawah Ona
kama alivosema ningar ios na wp zinauzwa sio bure, hata wakiclone wanaclone hardware then os wanaeka android. zipo iphone 5 na lumia 920 kbao za kichina ila os ni android then wanaeka tu skin za ios na wp.
hio lumia original na clone ambayo inauzwa dola 60 tu.
chief hii lumia clone naweza pata wapi.?na je waweza ntajia specs zake zote.?