Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Baraza la Utawala la Sudan limetoa amri ya kufungwa mara moja kwa mipaka yake na Libya na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Amri hiyo imetolewa kwenye mkutano wa pamoja wa baraza hilo na serikali ya jimbo la Darfur Kusini katika mji mkuu wa jimbo hilo Nyala, na pia kuhudhuriwa na maofisa wa ujasusi na polisi.
Baraza hilo liliidhinisha amri hiyo kutokana na usalama na hatari za kiuchumi.
Tangu tarehe 20 mwezi huu, mji wa Nyala umeshuhudia maandamano yanayotokana na upungufu wa chakula na mafuta, na ukosefu wa haki na usalama.