Kwal wale wenye ufahamu ningependa fahamu naweza zipata wapi bidhaa hizi mbili za mtumba na jumla yake yaweza kuwa kama kiasi gani
flatscreen size ya kati tu sio kubwa sana the same to hizo buffer ni kwa ajili ya kuweka kwenye duka langu la jumla (gheto)