tata mvoni JF-Expert Member Jan 14, 2011 534 81 Jun 6, 2014 #1 habari wakuu nauza subwoofer yangu aina ya sea piano bei tshs.50000/=.Zingatia: haina redio wala sehemu ya memory card ni spika tu na tweeter zake mbili.haina tatizo lolote inapiga mzigo kama kawa.Kama waitaka nipigie 0654404707 Niko dar es salaam.
habari wakuu nauza subwoofer yangu aina ya sea piano bei tshs.50000/=.Zingatia: haina redio wala sehemu ya memory card ni spika tu na tweeter zake mbili.haina tatizo lolote inapiga mzigo kama kawa.Kama waitaka nipigie 0654404707 Niko dar es salaam.
Renegade JF-Expert Member Mar 18, 2009 7,138 6,779 Jun 6, 2014 #3 wanafunzi wenzako wanasemaje? boom limeisha na wao?
NetworkEngineer JF-Expert Member Jun 21, 2012 1,923 1,150 Jun 6, 2014 #8 Duh kweli bora usiuze aisee kama mtu anataka hadi kwa 8000