Subwoofer inapishana na remote msaada plz!

Subwoofer inapishana na remote msaada plz!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Jama mara nyinginine kwenye hii subwoofer naongeza sauti mara moja yenyewe inaendelea hadi mwisho au napunguza sauti mara moja inafika hadi sifuri! Hii ikoje?
 
Nunua remote nyingine ndugu


Sent from my EyePhone
 
Nunua remote nyingine ndugu


Sent from my EyePhone

remote ndio niliyonunua pamoja na radio! Na si kwamba ni mara zote la mara chache sana nnapokuwa nimeitumia kwa masaa kadhaa! Kwahyo vp kuna njia nyingine?
 
Component ir chip..ya remote imeingia maji..labda jasho au vp.Nunua universal remote.
Taja aina ya subwoofer...?
 
Back
Top Bottom