Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
touching.........
nina wasiwasi kama umesoma yote hahaha MziziMkavu kapost saa 21:38 we umechangia saa 21:40 teh teh teh ulisoma kipindi anaandika au:yo::yo:
he hee unachunguza hadi time? lol
au umeanza kuni spy? lol
he hee unachunguza hadi time? lol
au umeanza kuni spy? lol
Neema hiyo. Mara ya mwisho kuokota pesa lini?
we unatufunga kudu great thinkers mchana kweupe hahahahaha sijakuspy mpendwa kuwa free nilitaka upunguze:lying:
Neema hiyo. Mara ya mwisho kuokota pesa lini?
we mjaze bichwa mwenzio,am watching you:yo::yo::yo:
Namuona tu
asije nianzishia thread bure ya ku propose lol
siku hizi wada wana propose pia lol
ww ndo unamchochea ibilisi na mawazo ya kishetwain huyo mdingi wa nn sasa,hebu subiri i think unajipigia debe kivice versa:A S 39::A S 39:Nilikuwa najaribu kusoma katikati ya mstari nikagundua kalamu iliyoandika ina wino mwekundu ndipo nikafikri
kwa sauti................
Namuona tu
asije nianzishia thread bure ya ku propose lol
siku hizi wada wana propose pia lol
ww ndo unamchochea ibilisi na mawazo ya kishetwain huyo mdingi wa nn sasa,hebu subiri i think unajipigia debe kivice versa:A S 39::A S 39:
Unconditional love. Dunia mapito hujui ya kesho
Hata ukipata shida nitakuwepo
Chochote kitokee lakini nauthamini uwepo wako
Na tumlee mwanetu maana huo ni upepo
Utapita tu mbona ya zama hayapo
Nakupenda sana nauthamini uwepo wako.
:tape2::A S shade::A S shade::shut-mouth::shut-mouth:Yaani kwa sisi tuliokulia Uswazi halafu tukapita pita kwenye Vikozi vya hapa na pale halafu
tukajaribu kuyasoma hayo maneno huku tukiwa tumevua miwani tunasema "The deal done" :censored:
:censored: :censored:
Na usije kushangaa Thread ina kichwa cha habari "I HATE THE BOSS" Halafu contents inazungumza habari
kama haina mwisho hivi.........Baada ya siku mbili unatupiwa PM IMEANDIKWA "The Boss am so sorry i didnt mean
to hurt you, it is just like something cross my mind and i dont know what to do"..........................!
Mpaka hapo utaamua kama Biskuti uvunje kwa nyundo ama vidole tu!! :smile-big: :smile-big: :smile-big:
sijui nikuaznishie sredi!
mbn una mineno mitamu hiv mtani!
loL!