Subash Patel: Press Conference!

Kinachonishangaza kila siku sipati jibu, ni kwa nini wote waliotuhumiwa hawataki kwenda Mahakamani kumshitaki Mengi?? Mengi kaamua kuanza yeye amshitaki Rostam kumchokoza ili naye apeleke lakini naona bado wanasita!!! labda tu huyo Manji ambaye pia nafikiri atajuta si muda mrefu kwa nini amefanya hivyo!! What is big fear???????
 
Wanaelewa na kuyajua madhambi yao. Hata wakijaribu kwenda mahakamani wanajua Mengi anajiamini nini, hivyo wataumbuka tu!
 
Back
Top Bottom