Vanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M
Mimi SUBARU FORESTER kama hii nilichukua Mil 40+ gari inakupa stability ya hali ya juu, haiondoki barabarani kizembe, speed, afu laini ile mbaya.
Chukua Subaru forester XT hizi kubwa zinafanana na Kluger na VanguardView attachment 2465889