Subaru legacy station wagon

Subaru legacy station wagon

victor paul

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
26
Reaction score
13
Wataalam naombeni mnijuze kuhusu hii gari subaru legacy wagon yenye cc1990, ubora wake na changamoto zake
Screenshot_2022-05-01-22-06-55-803_com.facebook.katana.jpg
 
Gari nzuri sana hiyo, mi ninayo nyeusi mwaka wa 2 hapa. NIMEIABUSE SANA ILA NI CHUMA MNOOO....HUTAJUTIA UAMUZI WAKO.
..............
 
Kubwa sevisi kwa wakati .. na kwasababu ni ndefu inakuwa kama ipo chini hivyo kuwa makini na bumpers pamoja na madigadi ni rahisi sana zihar8bu

lingine kubwa..
Itapo fika km 110,000-120000 jiadnae kubadili timing belt

Hilo zoez huandamana na kubadili b
Vikorokoro vingi

Kwa ujumla ni gari nzuri kwa wastaarabu.. huta ijutia
 
Asante mkuu
 
Ukiona gari inaitwa Subaru, as long as umeipenda, wewe inunue. Zingatia tu Kama unanunua kwa mtu iwe nzima haijachonokolewa engine. Subaru ni gari nzuri na imara sana, Naongea kama mtumiaji sio shabik au mjuaji tu, nimeitumia sana Forester na Impreza. Fuel economy ipo vzuri lita 1 ukiendesha hovyo sana unaenda kilometers 10. Spare zipo nyingi tu affordable pia ukiona spare ya Toyota ni 30,000 ujue Subaru itakua elfu40 au elfu50. Angalizo ukikanyaga kidogo tu umefika speed 100 😂😅 na hautaona ni mwendo mkali. Kwahiyo ukiwa high way kutembea 120 ni kama kawaida tu.
 
Mkuu nakazia tu, Subaru ni gari achana na IST sijui nini mafuta kidogo. Nimeshakuambia ninayo kama hiyo nyeusi hapa sijawahi jutia uamuzi wangu. Dar to Geita huwa naona kama route ya kawaida sana. Na bado huku nilipo ni rough road....nimeiabuse sana ila naipenda sana

Mwanzo kipindi nanunua Kuna watu walinikatisha tamaa sana. Mra ooh.. umefunga ndoa, Subaru ni shida ila trust me hii ni gari yangu ya kwanza na sitohama kampuni ya Subaru.

Kwa route ndefu hiyo gari utaipenda ina maximum comfortability na kuhusu safety Subaru wako vizuri kuanzia stability mpaka kila kitu.

Nilikuwa nakutana na IST zinapoozwa engine Mi akuu...ni kuimenya tu. Asikudanganye mtu.
Subie is the best..
 
Ukiona gari inaitwa Subaru, as long as umeipenda, wewe inunue. Zingatia tu Kama unanunua kwa mtu iwe nzima haijachonokolewa engine. Subaru ni gari nzuri na imara sana, Naongea kama mtumiaji sio shabik au mjuaji tu, nimeitumia sana Forester na Impreza. Fuel economy ipo vzuri lita 1 ukiendesha hovyo sana unaenda kilometers 10. Spare zipo nyingi tu affordable pia ukiona spare ya Toyota ni 30,000 ujue Subaru itakua elfu40 au elfu50. Angalizo ukikanyaga kidogo tu umefika speed 100 na hautaona ni mwendo mkali. Kwahiyo ukiwa high way kutembea 120 ni kama kawaida tu.
Thanks
 
Back
Top Bottom