Car4Sale Subaru impreza xv 2013 model with hybrid system

Asante mkuu, hii ndio gari natagemea kuchukia, lakini kwa hiyo bei na ushuru wetu naona gharama inashoot sana. Kuna tips za kupunguza gharama? bajeti yangu 20-25m
Xv hautoweza kupata chini ya 16m mkuu jumlisha na gharama za kuwalipa madereva mpaka tunduma gari ndogo ni Tsh 750,000 mafuta piga hesabu kwa 3000km kwa 2.0 Engine..
Kazungula road toll pamoja na agent wa Bond ni 300usd..
Kuna malipo ya bara barani Zambia kupita kwenye toll gate zao Zipp saba unalipa nikipita wiki ijayo ntaangalia kwa gari ndogo..
Agent Kuingia Botswana pula 300 kama rand 600 road toll kuingia Botswana gari ndogo ni pula 250..
Kama gari imenunuliwa na agent hakuna gharama za karatasi kama inanunuliwa kwa dealer wanachaji rand 5000.
Ulimjulisha na mafuta gari imefika Tunduma na gharama ya kuifuta kwa agent upande wa Nakonde hapo...
Hiyo hela unaweza kupata Subaru forester sio XV..
 
Asante sana bro, Hapo nina options sasa ya kuongeza pesa au kuchukua forester. Nilijua XV ni nafuu kuliko forester. Forester kwa bei hiyo napata Hybrid?
 
Tafuta uwe na Tsh 33m za kitanzania nikiwa huku au huko ntakujulisha gari ya kuchukua iwe Forester,XV au Mazda CX-5 ya kuanzia 2015 kuja mbele unapata ina mapumziko ndani na balance ipo pia huku unatuma hela ya kununua na kusafirisha ikifika Tunduma ukilipia kodi unaletewa ulipo au unaifata hapo mpakani..
 
Back
Top Bottom