Kwa taarifa zilizo mtaani Kwa Sasa kwenye ishu ya magari, wadau wanauliza inakuwaje Subaru Forester zinaaanza kushuka Bei za Mauzo?
Wakuu tunaomba kujua Kuna nini kwenye ishu ya Subaru Forester?
Au wabongo wameshaanza kuyangorosha, matumizi mabaya ya uendeshaji?
Kuna jambo huwa najiuliza kwanini gari zikija bongo,zinaharibika haraka hivyo?
Swali je?
Ni kwamba watanzania wengi hatuna Elimu ya magari?
Je, uendeshaji wetu siyo makini?
Au miundominu yetu haviendani na vyombo vya usafiri tunavyonunua?
Au sisi ndo tunanunua magari yaliyozeeka sana yanakuja kutufia huku?
Maana ukiangalia gari nyingi used sehemu kubwa zilizotumika ni huko yalikotengenezwa, unakutana na gari imetembea Km 200,000, lakini ikifika hapa bongo hai huchukui hata mwaka imeshaenda garage zaidi ya mara mia.
Ila Kuna kautafiti Cha kawaida nimefanya nimegundua magari mengi yaliyopo garage ni Marika ya Vijana kuanzia 25-45 na hii hutokana na roughly driving.
Mwenye maoni zaidi.