Sub titles za movies za kibongo!!

Sub titles za movies za kibongo!!

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
1,389
Reaction score
715
Jamani hii aibu itatuondoke lini. Nuimekuwa nikiangalia movie za kibongo ile channel ya movie za kiswahili kupitia DSTV, Jamani ni aibu yaani unaogopa kabisa subtitles ya kuaibisha kabisa na imerushw, a kitu cha ajabu kabisa lakini unshangaa hivi hawa jamaa wanapotengeneza hizi subtitles huwa kweli wanajua wanachokifanya. Halafu wale DSTV wanazirusha tu bila hata kuzifanyia kazi. Mtu unakuta anasema nilikuona kwenye sub title wameandika I so you yaani makosa Ni mengi na huwa najiuliza lakini kwa nini wasitafute wataaalamu wawasaidie kutafsiri. Tunaanikwa uchi kabisa kimataifa. Lazima bidhaa kupelekwa sokoni zipitie viwango na dhani hata TBS wanatakiwa kufika huku jamani
 
Mkuu, tumepiga kelele sana kuhusu hili lakini naona yanaingia sikio la kulia na kutokea la kushoto. Binafsi nimeacha kuangalia sinema za Bongo kupitia DSTV kwa sababu hizo sub-titles zinanifanya nijisikie kutoa machozi. Yaani Watanzania tumeamua kuanika ujinga wetu nje ya mipaka yetu.
 
Its better wasiweke hizo subtittle kuliko broken english kama ile ni aibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom