suarez na tatizo lake

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,059
ukiwa kama mdau wa mpira wa miguu na mtaalam wa saikojia naomba msaada nataka kujua ni nini tatizo la suarez kuwang'ta wenziwe meno na njia ipi ni nzuri kuitumia kumsaidia
maana hapa kwetu kuna watu wanasema eti suarez ameamua kuanzisha rafu mpya katika viwanja vya mpira ili aingie katika vtabu vya ugunduzi
 
kila mpinzani wake awe amebeba kipande cha nyama wkt wa mchezo.
 
kama walivyogundua shinigadi pia wagundue na helmenti ya suarezi tu
 
ila wakuu naskia uruguay ganja kama sposi wakati nazid kukusanya data za kuzifanyia evaluation nahs hata ganja yaweza kuwa sababu hivyo suarez akegewa miwa atafune kwanza kabla hajaingia uwanjani kukata stimu la cvyo tutegemee siku ataondoka na kiungo cha mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…