Wamchunguze vizuri unawezakuta Ni vampire, livervampires
mkuu,me nadhani utakuwa una.tomb.wa! Lfc imekujaje hapo! Upuuzi wa suarez unamhusu yeye mwenyewe,huna haja ya kujumuisha timu nzima! Idiot
Katika mechi ya kombe la
dunia iliyomalizika hv punde kati ya Italy vs Urugway tumeshuhudia kwa
mara nyingine tena mshambuliaji wa kimataifa na mchezaji wa timu ya
liverpool Luis Suarez akimng'ata meno kwa nguvu beki wa Italy. Hii ni
mara ya pili kwa Suarez kufanya kosa hilo kwani mwaka jana alifungiwa na
FA kwa mimeno yake hyo...
Suarez ang'olewe mimeno yake ili aache hii tabia isiyofanania kabisa na
soka!!!! Suarez - weka mbali na wachezaji
Elmagnificio punguza jazba kwani wewe Ni mchezaji WA Liverpool?
mbona povu tena!mitusi ya nini?mijitu ya mikoani bwana mishaaaaaamba,una kadi ya uanachama wa loserfool?
Ila meno yake yako kama carnivorous,labda kuna uhusiano na kung'ata