[emoji23][emoji23][emoji23]Hii nchi ukitaka kuwa serious utskufa siku Si zako....nimeona Viongozi wanahamasisha watu wafikie 100[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa wewe unaduburi Nini kujaza ufike 100! Maisha ni hayahaya! Wapo watu wanahalalisha propozo' lao la PEPIMISO'!
95 inatosha tukutane July Mosi.Hii nchi ukitaka kuwa serious utskufa siku Si zako....nimeona Viongozi wanahamasisha watu wafikie 100😁😁😁 Sasa wewe unaduburi Nini kujaza ufike 100! Maisha ni hayahaya! Wapo watu wanahalalisha propozo' lao la PEPIMISO'!
kwani si kuna KPIs ambazo unapaswa kuzifikia na kuweka maripoti au huo mfumo wenu ukoje huku vijana wakimaliza wanaenda kuoga na sabuni ya unga wanaonyesha kila mtu kafanya kazi ngapi nawalipa posho wanasanzuka tutaonana kesho asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna uhalisia mkuu, afadhali OPRAS kulikuwa na shahidi anabalance kidogo pale mambo yaende ila huu hapana kwakweli...
Muhimu,,,lakini kwa upande wa walimu sidhani kama utendaji unaweza ukapimwa kwa pepmiss maana kinachojazwa ni tofauti na kinachotekelezwa,,,na kama wametumia pepmiss believe me or not wachapakazi wengi wameachwa na tunakoelekea watu wataconcentrate kujaza matango pori kwenye pepmiss na kuwasahau wanafunziMwl jitahidi uendane na mifumo
Nadhani umeliwa kichwa kama mieHabari za wakati wajumbe..
Hili suala la PEPMIS naona kwa mtazamo wangu kama lina maswali mengi sana kuliko majibu.
Japo lengo la serikali ni zuri kabisa, la kutumia mifumo ya tehama na teknolojia kufanya performance appraisal lakini niishie kusema kwa mfumo huu naona kabisa halitatimia.
Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaibua sintofahamu juu ya uhalisia wa mfumo huo na namna unavyofanya kazi
1. Watumishi wengi hawana mafunzo muhimu kuhusu jinsi ya kutumia mfumo huo ipasavyo.
2. Kulazimisha mfumo uanze kufanya kazi mapema ilhali watu hawana uelewa nao.
3. Mfumo kutokuwa stable na unakuwa mzito mno.
4. Kutumia mfumo kupima watumishi jambo ambalo haliwezi kuwa kipimo sahihi cha kupromote watumishi kwasababu watumishi wengi wanaforce kujaza asilimia zifikie 60+.
USHAURI
1. Serikali iandae fomu maalum zitakazojazwa na watu tofauti (supervisors) ili itumike kama atachment ya uthibitisho wa kazi.
2. Serikali itoe mafunzo kwa ngazi zote na itoe muda zaidi ili watu wauelewe huo mfumo.
3. Kurekebisha hali ya mfumo kuzidiwa.
4. Kwa kuzingatia changamoto zilizopo sasa ni uhakika kwamba promotions za mwhani udgdaka huu zina walakini, hivyo kwa kuanzia serikali iangalie namna bora zaidi ya kukwepa lawama kutoka kwa watumishi.
Serikali hoyeeeee
CCM HOYEEEEEEE
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIII
Imekuaje sasa umetuacha tukose kupanda na tumeandika kwa uzuri kabisaMfumo rahisi sana huu kuliko kuandika opras
Wambie wafanyakazi wenzako wakuelekeze
Ulikuwa kwenye mpango wa kupanda?Imekuaje sasa umetuacha tukose kupanda na tumeandika kwa uzuri kabisa