Naunga mkono usemi wa waziri wa mambo ya ndani Mhe Mwigulu Nchemba alipokuwa huko Kibiti juzi aliposema ni Fumbo suala hili na kuhoji iweje viongozi wa CCM na Serikali tu ndo target.
Serikali iwafuatilie kwa umakini nawasiwasi nao sana. Ukweli utadhihiri muda ndio utasema. Nakumbuka yule kiongozi wao kule ZBR aliwahi kutamka kuwa wapo watu ambao wameumia kwa yeye kutokuwa rais na hao watu wataanza kuchukua hatua kufuatia kunyimwa urais ZBR. Naamini ni mpango uliosukwa kudhoofisha CCM. Tusipokuwa makini utasambaa taratibu nchi nzima.
Serikali ifanye juhudi kwenye eneo la intelijensia kwa maeneo yetu yote ya nchi ikiwemo kubaini wageni wanaofika na kuishi maeneo ya vijijini na mitaani mwetu kama ilivyokuwa wakati wa Mwl Nyerere.
Bado siwaamini CUF kama chama makini cha siasa cha kuleta utengamano na mshikamano katika nchi yetu.
Tukiangalie kwa umakini sana.