Suala la MCC kutunyima pesa za msaada lisichukuliwe kisiasa

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,091
Nimesikitishwa sana na Kiongozi mmoja wa chama cha upinzani kujitokeza hadharani akisifu nchi wahisani kutunyima misaada. Msaada huu ulilenga kuboresha maisha hasa ya wanyonge na kwa utawala WA Magufuli nina uhakika japo huenda kiasi fulani kingekwapuliwa na mwewe watu lakini sehemu kubwa ingefanya kazi.

Naomba kutoa ushauri kwa serikali ya Magufuli kuwa kama asipokuwa makini, serikali yake itawekewa vikwazo vingi na mataifa tajiri, kufuta msaada KWA suala la Zanzibar ni kiashiria kibaya. Akiendelea kuwa mgumu wa kuchukua maamuzi anaweza kuwekewa kikwazo kingine, kama kutosafirisha dhahabu, pamba ya Tanzania chafu, kahawa ya Tanzania inasumu n.k.

Tuache ushabiki kama taifa tushikamane kwenye masuala ya kitaifa tuwe wamoja, tambueni capitalist nations hawapendi kuona taifa lolote Afrika linajitegemea kiuchumi bila kuomba msaada kwao. Ya Gadafi yanaweza kumpata rais wetu, akatangazwa dictator of Africa kisa katishia ustawi WA ubepari.

Najua KWA Tanzania ukiwa NA ELIMU ndogo kama mimi ushauri wako huwa hautiliwi maana ni hadi uwe PhD au Profesa ndio wajue kasema MTU.
Naomba kuwasilusha MAWAZO YANGU.
 
Watunyime tu,Hiyo misaada inaishia mifukoni mwao...wewe tu unadanganywa kwamba zitatumika kwenye miradi ya bla bla kumbe zinapigwa na wajanja.
 
In maana umeme wa REA sasa basi, Waziri hawezi kutumia pesa za TANESCO na TRA nk kusambaza huu umeme. Ni wilaya gani zilikamilisha na zipi bado?
 
Wamarekani waende na pesa yao, Watanzania masikini jeuri.
Hata Zanzibar wakichinjana shauri lao si tuna nchi yetu, na kuwekewa misaada ya kijinga kama hiyo ni dharau tosha.
 
HAWA WA marekani ndio mabingwa WA siasa za majitaka na unafiki kuliko hata Mbowe
 
Suala la wamarekani kutunyima misaada halina uhusiano wowote na sisi kuweza kujitegemea kibajeti.

Sidhani kama Wamarekani wanapinga juhudi binafsi za Rais .Dkt.Magufuli kuongeza uwezo wa TRA wa kukusanya kodi.
Wanachopinga Marekani ni uvunjwaji wa demokrasia na haki za misingi ya binadamu.Ili upokee misaada yao ni lazima uridhie masharti haya.Suala la Zanzibar limeifanya Tanzania tusitofaitiane na nchi kama Burundi.Suala la Zanzibar ndio jipu lililokuwa kubwa kuliko yote wakati Mh.Rais anafungua Bunge.Na jipu hilo hilo liliwafanya wabunge wa UKAWA watoke nje.Ila ata katika hotuba yake nzuri wakati wa kufungua Bunge, Mh Rais hakuzungumzia lolote kuhusu mgogoro wa Zanzibar.
Ushauri wangu ni kuwa kwa hali ilivyo kwa sasa bado nchi yetu inahitaji misaada ya Wamarekani.Masharti waliyotuwekea ni kwa faida yetu.Kama vile ilivyo vigumuu kwa Marekani kutoa misaada kwa serikali ya Nkurunzinza basi na kwetu ni hivyo hivyo.Mheshimiwa Rais tunaomba utumbue jipu la Zanzibar na uboreshe sheria ya makosa ya mitandao ili nchi yetu iendelee kupata maendeleo ya kweli kama ulivyodhamiria.
 
Wahisani ndo kila kitu, project nyingi sana nchi hii ni wao, hakuna namna
 
Misaada haiji kwa uroho wa madaraka ya xxm. Ni bora ifanyike hivyo kuliko kudai haki kwa damu kama Burundi ilivyo
 
Nimesikitishwa sana na Kiongozi mmoja wa chama cha upinzani kujitokeza hadharani akisifu nchi wahisani kutunyima misaada. Msaada huu ulilenga kuboresha maisha hasa ya wanyonge na kwa utawala WA Magufuli nina uhakika japo huenda kiasi fulani kingekwapuliwa na mwewe watu lakini sehemu kubwa ingefanya kazi.

Naomba kutoa ushauri kwa serikali ya Magufuli kuwa kama asipokuwa makini, serikali yake itawekewa vikwazo vingi na mataifa tajiri, kufuta msaada KWA suala la Zanzibar ni kiashiria kibaya. Akiendelea kuwa mgumu wa kuchukua maamuzi anaweza kuwekewa kikwazo kingine, kama kutosafirisha dhahabu, pamba ya Tanzania chafu, kahawa ya Tanzania inasumu n.k.

Tuache ushabiki kama taifa tushikamane kwenye masuala ya kitaifa tuwe wamoja, tambueni capitalist nations hawapendi kuona taifa lolote Afrika linajitegemea kiuchumi bila kuomba msaada kwao. Ya Gadafi yanaweza kumpata rais wetu, akatangazwa dictator of Africa kisa katishia ustawi WA ubepari.

Najua KWA Tanzania ukiwa NA ELIMU ndogo kama mimi ushauri wako huwa hautiliwi maana ni hadi uwe PhD au Profesa ndio wajue kasema MTU.
Naomba kuwasilusha MAWAZO YANGU.

Kwanini lisichukuliwe kisiasa wakati suala lenyewe ni la kisiasa?
 
Zanzibar walijengewa line mpya ya Cable ya umeme kwa fedha hizi.bila ya msaada huu leo wangekua giza. Sio muungano wala ccm wangeweza kuwasaidia.

MCC ni fedha za walipa kodi wa Marekani na masharti yake ni mazuri na yanalinda maslahi ya watu wa nchi inazo kusudiwa...
Masharti hayo ni pamoja na
Utawala bora
Democrasia
Haki za binadamu
Kupiga vita ufisadi na rushwa.

Haya masharti ni mazuri na kwa maslahi ya raia ....haya ni machungu kwa watawala wetu...
Suala la cybercrime ni muhimu na kwa faida ya watanzania...sheria hio hata marekani ipo lakini wao wanai tumia kwa ajili ha mijizi wa mitandao na usalama . Hawaitumii kwa ajili ya kukomoana kisiasa baina ya vyama vyao. Hapa kwetu inatumika zaidi kisiasa kunyamazishana. Ni sheria nzuri lakini yenye malengo ya kisiasa zaidi. Hivyo sharti hili ni kwa ajili ya faida yetu kama raia ni sharti zuri watawala walitimize.

Sharti la pili la Zanzibar....hili ni sharti muhimu na kwa faida y Watanzania kuona democrasia haichezewi. Watu wanzanzibar ni wanyonge kwa sababu wao ni Nchi ndogo wameungana na nchi kubwa sana ..mfano wa Tembo na Sisimizi....lakini huyu trmbo hataki hawa sisimizi wachague kiongozi wamtakae wanapenda kuweka govana wao ili sisimizi wasiendelee wawe masikini....wategemezi .
Uchaguzi umefanyika na Ccm imeshindwa na haitaki kuachia , hivyo sharti hili ni kwa manufaa ya Nchi yetu kwa ujumla na njia ya kutusaidia kuona ccm wanakubali mfumo wa vyama vingi kama njia bora ya utwala ili kuleta maendeleo ...shinikizo hili ni kwa ajili ya watanzania ..ni shinikizo chungu kwa ccm...wao hawapendi kuyatekeleza masharti hayo si kwa maslahi mapana ya nchi bali kwa maslahi ya kichama..wanaweka maslahi ya chama mbele kuliko ya nchi .
MCC wako sahihi na kwa ajili ya Watanzania ....na masharti yao ni kwa manufaa ya watanzania...wanao kataa kuyatekeleza wameweka maslahi ya chama mbele
 
Kitu ambacho huwa nashindwa kuelewa ni pale ccm wanapokataa kufanya kazi na vyama vingine, kwani kama cuf wameshinda zanzibar kuna ugumu gani kumtangaza mshindi? uchaguzi au democracia sio ya chama kimoja tu kishinde, hao cuf sio wakimbizi ni watanzania kama ccm. Miaka nenda rudi kuna kuwa na migogoro zanzibar na hakuna ufumbuzi wa kina, ufumbuzi umekuwa wa miaka 10,au 5 . Wakaletewa katiba ambayo ingetoa ufumbuzi wa kudumu zanzibar bado wakakimbia , wakaharibu mchakato wote bila kujali madhara yake, hatimaye uchaguzi umefika wamepigwa sasa wanahofia kumtangaza mshindi. ccm wako wengi bungeni, lakini wigi wao huwa ni wa kubomoa tu sio kujenga, watu wengi iweje wakashindwa miaka yote ile kupitisha katiba bora wenye kulete suluhu la kudumu la muungano ?,suluhisho la kweli haliji kwa majadiliano yanayofanyika baada ya uchaguzi na ccm kuchapwa, hayaji kwa njia ya kupeleka wanajeshi kule au police kuzima moto, yanakuja kwa kujua kero za wananchi wa pande zote mbili, matakwa yao kikatiba na uhuru wa raia. Basi hatujachelewa, watawala na viongozi wa upinzani wakae warekebishe kasoro, kama nikurudia uchaguzi au mshindi kutangazwa kufanyike, then baada ya hapo wakae waunde katiba bora, yenye kumaliza mgogoro wa pande mbili na uridhiwe na wananchi wenyewe, katiba hiyo itoe suruhu ya zaidi ya miaka 100 ijayo, wanasiasa wajue kwamba cuf ama ccm ama chadema ama act wote ni watanzania na wote wananafasi sawa na maono ya kuongoza nchi hii, na wote ni watanzania, tutumie akiri na hekima sio kila kitu police au jeshi.
 
Marekani ana Hasira tu na Gesi kupewa mchina hana lolote kwanza hizo trilioni moja zao tumeshakusanya mwezi huu mmoj peke yake
 
Tena hao wamerekani wakijua na huu uhuni unaofanywa na ccm kuhusu mameya ndio kabisa watapiga hata marufuku waTz kwenda kwao.
 
Nimesikitishwa sana na Kiongozi mmoja wa chama cha upinzani kujitokeza hadharani akisifu nchi wahisani kutunyima misaada. Msaada huu ulilenga kuboresha maisha hasa ya wanyonge na kwa utawala WA Magufuli nina uhakika japo huenda kiasi fulani kingekwapuliwa na mwewe watu lakini sehemu kubwa ingefanya kazi.

Naomba kutoa ushauri kwa serikali ya Magufuli kuwa kama asipokuwa makini, serikali yake itawekewa vikwazo vingi na mataifa tajiri, kufuta msaada KWA suala la Zanzibar ni kiashiria kibaya. Akiendelea kuwa mgumu wa kuchukua maamuzi anaweza kuwekewa kikwazo kingine, kama kutosafirisha dhahabu, pamba ya Tanzania chafu, kahawa ya Tanzania inasumu n.k.

Tuache ushabiki kama taifa tushikamane kwenye masuala ya kitaifa tuwe wamoja, tambueni capitalist nations hawapendi kuona taifa lolote Afrika linajitegemea kiuchumi bila kuomba msaada kwao. Ya Gadafi yanaweza kumpata rais wetu, akatangazwa dictator of Africa kisa katishia ustawi WA ubepari.

Najua KWA Tanzania ukiwa NA ELIMU ndogo kama mimi ushauri wako huwa hautiliwi maana ni hadi uwe PhD au Profesa ndio wajue kasema MTU.
Naomba kuwasilusha MAWAZO YANGU.

Wewe ni mpumbavu. Ushikamane na nani kuficha upumbavu? Unadhani wale watu waliokamatwa kwa makosa yasiyokuwepo na bila maelezo wanaumia peke yako? Au unadhani America ni wapumbavu kama wewe wakutetea upumbavu wa ccm?

Ninakuona wwe ndiye hayawani mpumbavu usiyekuwa na hata chembe ya ubinadamu. Kwa kuwa unaona unakosa huduma unaanza kupiga kelele za kijinga. Mbona hupigi kelele kwamba ccm iongoze nchi kwa misingi ya katiba? Mbona huongelei suala na uchaguzi Zanzibar unaolazimishwa kfutwa kwa kuwa ccm limeshindwa, wakati nikinyume cha katiba? Chama gani kililalamika kwamba uchguzi haukuwa wa haki hadi huzo ZEC afute? Huzungumzii mateso ambayo vijana waliokamatwa kwa upumbavu wenu wanayapata na familia zao?

Pumbavu wewe tena mbweha mkubwa, funga domo lako.

Tunaungana na America na dunia nzima kulishikisha adabu hili dude ccm linaloua Watu wetu kila siku kama zimwi. Na watu wanafiki kama wewe ni afadhali msingekuwa duniani.
 
Mfutieni kesi Yericko Nyerere, Kijo Bisimba na vijana wa Ukawa waliokuwa wanakusanya matokeo ya uchaguzi ndipo mtapata pesa.
 
Na ifike mwisho na tuseme misaada basi, mbona chama cha Republican wanataka kumpitisha mgombea ambae hapendi waislam. Watoke zao huko
 
Misaada haisaidii mtanzania wa kawaida labda wewe.We can do on our own.Hatuhitaji MCC.To hell with them.
Nimesikitishwa sana na Kiongozi mmoja wa chama cha upinzani kujitokeza hadharani akisifu nchi wahisani kutunyima misaada. Msaada huu ulilenga kuboresha maisha hasa ya wanyonge na kwa utawala WA Magufuli nina uhakika japo huenda kiasi fulani kingekwapuliwa na mwewe watu lakini sehemu kubwa ingefanya kazi.

Naomba kutoa ushauri kwa serikali ya Magufuli kuwa kama asipokuwa makini, serikali yake itawekewa vikwazo vingi na mataifa tajiri, kufuta msaada KWA suala la Zanzibar ni kiashiria kibaya. Akiendelea kuwa mgumu wa kuchukua maamuzi anaweza kuwekewa kikwazo kingine, kama kutosafirisha dhahabu, pamba ya Tanzania chafu, kahawa ya Tanzania inasumu n.k.

Tuache ushabiki kama taifa tushikamane kwenye masuala ya kitaifa tuwe wamoja, tambueni capitalist nations hawapendi kuona taifa lolote Afrika linajitegemea kiuchumi bila kuomba msaada kwao. Ya Gadafi yanaweza kumpata rais wetu, akatangazwa dictator of Africa kisa katishia ustawi WA ubepari.

Najua KWA Tanzania ukiwa NA ELIMU ndogo kama mimi ushauri wako huwa hautiliwi maana ni hadi uwe PhD au Profesa ndio wajue kasema MTU.
Naomba kuwasilusha MAWAZO YANGU.
 
Wamarekani waende na pesa yao, Watanzania masikini jeuri.
Hata Zanzibar wakichinjana shauri lao si tuna nchi yetu, na kuwekewa misaada ya kijinga kama hiyo ni dharau tosha.

Kweli Lowasa aliposema kipaombele chake cha kwanza hadi cha tatu ni elimu alijua kwamba kuna Watanzania wengine bado ni WAJINGA!! Hivi mpaka leo hujui kwamba hakuna Tanzania bila Zanzibar? Elewa kwamba Wazanzibar wakichinjana hata watanganyika hawatokuwa salama.Wakati mwengine ukiwa mjinga si vizuri kuuonyesha ujinga wako kila mtu akakujua
 
Kuna kipindi watu wa chadema &Co. walienda kusema kwa Wazungu ili nchi iwekewe vikwazo vya kiuchumi na Marekani nafikiri walifanikiwa kwa kiasi fulani kwani nilisikia nchi ya Marekani ilisimamisha baadhi ya misaada yake ya Kimaendeleo ili kuishinikiza Serikali yetu, sasa ningependa mrejesho, vipi mmefanikiwa kumtingisha Raisi Magufuli?
 
Back
Top Bottom