Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
Waziri wa mambo ya ndan, Charles Kitwanga, yupo katika wakati mgumu baada ya kushindwa kujieleza vyema mbele ya kamati ya Bunge ya Mambo ya nje, Ulinzi na Usalama kuhusu mkatab tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd.
Kampuni hiyo inayomilikiw na mfanyabiashara aliyejipatia umaarufu wa ghafla, Saidi Lugumi, inadaiwa kutumia mabilioni ya fedha katika mkataba wake na jeshi la Polisi kwenye mradi wa kufunga mashine za Utambuzi wa alama za Vidole (Automated Fingerprint Identification System - AFIS)
Kamati hiyo ilikutana na Kitwanga April 11 mwaka huu jijijini Dar es salaam, ambapo pamoja na mambo mengine, ilimuhoji kuhusu mkataba huo kutofuata utaratibuu, ikiwa ni pamoja na kutangaza tenda, lakini hakuwa na majibu.
Source: Raia Tanzania la leo
View attachment 339303