MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Ni wazi kuwa CCM haitaki katiba mpya. Magufuli alipoingia madarakani alisema katiba sio kipaumbele cha CCM. Rais SSMIA kaja na kikosi kazi na kutoa elimu ya katiba kwa wananchi kwa miaka 3, muda ambao ni mrefu sana.
Zoezi ambalo Tume ya Warioba ilitoa elimu ya katiba nchi nzima ikiwa ni pamoja na kugawa nakala za katiba na vipeperushi. Kwa wananchi, ukweli lazima usemwe. CCM haitaki katiba mpya, ndio kila rais anakuja na jipya.