Habari wana JF
mimi ni kijana wa miaka 23 nipo chuo na bado sijatahiriwa.
sasa nataka kwa hali na mali kutahiriwa naombeni nijulisheni napona baada ya Muda Gani na inagharimu shilingi ngapi za kitanzania.
Na Je nikitahiriwa nikiwa nipo chuo haitaathiri shughuli zangu za hapa na pale za kimasomo?
Niulize Tena
Na je nisipofanya Mazima kutakuwa na Madhara au Matatizo huko Mbeleni?
Asanteni.