Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,829
- 14,888
Kiukweli na sikitishwa tena na wananchi watanzania asilimia kubwa wakiwa upande wa waislamu hapa Tanzania achana na visiwani sababu wao wao wanatawala dini Yao.
Hapa kwetu nimejaribu kukusanya data unaona kabisa hata wafanyiwe vipi wananchi na ugumu wa maisha waislamu wamekuwa waoga kusema ila linapo kuja suala la Imani Yao ndio utaona Bora kufa kusema na kutenda kabisa usije kuharibu.
Maisha yetu ni sote kuhusu nchi hii ukipandishiwa bei wote tuna umia .