Abatmwe
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 110
- 79
Ukiwa kama mdau wa michezo, nimejaribu kuangalia kikosi kilichotajwa, hususani kwa upande wa washambuliaji nimeshindwa kuelewa kwann watu walalamika swala la kuachwa Ajibu
Katika list apo chini, naona kuna wigo wa maprofessional players tu sasa sijajua tumtoe nani tumweke Ajibu
Ushauri wako tu
Katika list apo chini, naona kuna wigo wa maprofessional players tu sasa sijajua tumtoe nani tumweke Ajibu
Ushauri wako tu