Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Kwasababu mwanamke anachukuliwa kiumbe zaifu lakini.hakuna ukweli juu ya iloNaona hujaandika kwamba Jamii imewafanya Wanawake ni wenye kipaombele cha kupishwa siti kwenye usafiri wa Umma...
Dhaifu.Kwasababu mwanamke anachukuliwa kiumbe zaifu lakini.hakuna ukweli juu ya ilo
Bla bla ndefu ila wewe ni feminist, na tena zaidi ni feminist mjinga. Wait a minute, jamii ilimfanya mwanaume kua kichwa sijui nini nini, JAMII NDIO ILIMUUMBA MWANADAMU HATA KUMPANGIA MAJUKUMU?!Morning
Gender ni social formed yaani Jamii ndio imeitengeneza gender ivi tunavyo muona mwanaume wa Leo na mwanamke wa leo alivyo ni matokeo ya gender
NakaziaBla bla ndefu ila wewe ni feminist, na tena zaidi ni feminist mjinga. Wait a minute, jamii ilimfanya mwanaume kua kichwa sijui nini nini, JAMII NDIO ILIMUUMBA MWANADAMU HATA KUMPANGIA MAJUKUMU ...
We umeongelea upande wa sex ambao ni biological concept kwaio biological ndio inayo mtofautisha mwanamke na mwanaume that why mwanamke ana beba mimba lakini mwanaume hawezi beba mimba kwaio kwa upande wako upo sahihi kwa sex lakini sio gender ukiweza kuelewa kwaza tofauti ya gender na sex unaweza elewa Nini na maanisha soma Tena kwa umakini sex sijaigusia kwasababu nitakuja kuielezea baadaeBla bla ndefu ila wewe ni feminist, na tena zaidi ni feminist mjinga. Wait a minute, jamii ilimfanya mwanaume kua kichwa sijui nini nini, JAMII NDIO ILIMUUMBA MWANADAMU HATA KUMPANGIA MAJUKUMU?!
Hoja yako kubwa mwanaume na mwanamke wako sawa, hivi wewe una akili kweli ?! Haujui wala kuona duality kwamba kuna kushoto na kuna kulia, kuna usiku na kuna mchana yani unataka kusema usiku uwe sawa na mchana ?! Hauoni umuhimu ma UTOFAUTI WA UUMBAJI ?!
Mwanamke kaumbwa na manyonyo wewe unayo manyonyo, je hauoni ya kwamba kwa kuumbwa tofauti mwanamke ana MAJUKUMU TOFAUTI ?!
Unataka uwe sawa na wanawake, je unaweza kuzaa ?! Unataka wanawake wawe sawa na wanaume je wanamudu kubeba zege, kwenda vitani nk, mwanamke kaumbwa kutombm.wa je nawewe tunaweza kukutomb.a ?
hawa watoto waliolelewa na masingle mothers wamejazwa maujinga sana vichwana kuamini.
Stupid femiminists can't stop to annoy me with their empty headed brains.
Unapoangalia upande wa majukumu Jamii ndiyo imepanga majukumu kwa mwanamke na mwanaume that why unaona Jamii nyingine Kama wamakonde wanaume ndi o wanao enda sokoni lakini ukija kwa mpale mwanamke ndio anaenda sokoni mwanaume hawezi kwenda sokoni elewa ilo na ujue kutofautishaBla bla ndefu ila wewe ni feminist, na tena zaidi ni feminist mjinga. Wait a minute, jamii ilimfanya mwanaume kua kichwa sijui nini nini, JAMII NDIO ILIMUUMBA MWANADAMU HATA KUMPANGIA MAJUKUMU?!
Hoja yako kubwa mwanaume na mwanamke wako sawa, hivi wewe una akili kweli ?! Haujui wala kuona duality kwamba kuna kushoto na kuna kulia, kuna usiku na kuna mchana yani unataka kusema usiku uwe sawa na mchana ?! Hauoni umuhimu ma UTOFAUTI WA UUMBAJI ?!
Mwanamke kaumbwa na manyonyo wewe unayo manyonyo, je hauoni ya kwamba kwa kuumbwa tofauti mwanamke ana MAJUKUMU TOFAUTI ?!
Unataka uwe sawa na wanawake, je unaweza kuzaa ?! Unataka wanawake wawe sawa na wanaume je wanamudu kubeba zege, kwenda vitani nk, mwanamke kaumbwa kutombm.wa je nawewe tunaweza kukutomb.a ?
hawa watoto waliolelewa na masingle mothers wamejazwa maujinga sana vichwana kuamini.
Stupid femiminists can't stop to annoy me with their empty headed brains.
Shida inakuja mtu hawezi kutofautisha Kati ya jinsi na jinsia wakiambiwa social science muhimu kuwa nayo japo kidogo wamakazana na kusoma account na procurementKumekuchaaaaaah, usipohusika ushoga hapa, sidhani, nipo nimekaa pale.
@Ombenichelsea unajua kutofautisha Kati ya jinsi na jinsia? Tuanzie hapoNakazia
Kwa hyo katika sex ndio kuna tofauti kati na mwanaume ila katika gender hakuna tofauti ?! Yani mwanamke anaweza kubeba zege kama mwanaume ?! Kuna mkuu hapo juu amecomment kua wewe ushoga unakunyemelea kua makini dogo.We umeongelea upande wa sex ambao ni biological concept kwaio biological ndio inayo mtofautisha mwanamke na mwanaume that why mwanamke ana beba mimba lakini mwanaume hawezi beba mimba kwaio kwa upande wako upo sahihi kwa sex lakini sio gender ukiweza kuelewa kwaza tofauti ya gender na sex unaweza elewa Nini na maanisha soma Tena kwa umakini sex sijaigusia kwasababu nitakuja kuielezea baadae
Unapoangalia upande wa majukumu Jamii ndiyo imepanga majukumu kwa mwanamke na mwanaume that why unaona Jamii nyingine Kama wamakonde wanaume ndi o wanao enda sokoni lakini ukija kwa mpale mwanamke ndio anaenda sokoni mwanaume hawezi kwenda sokoni elewa ilo na ujue kutofautisha
K
Kwa hyo katika sex ndio kuna tofauti kati na mwanaume ila katika gender hakuna tofauti ?! Yani mwanamke anaweza kubeba zege kama mwanaume ?! Kuna mkuu hapo juu amecomment kua wewe ushoga unakunyemelea kua makini dogo.
Mkuu nataka kujua jambo, umelelewa na single mother sio ?! Yani wewe na Ashura hamko tofauti ?! Aiseee Mungu waepushe watoto wangu wa kiume na hii mentality.
@Ombenichelsea unajua kutofautisha Kati ya jinsi na jinsia? Tuanzie hapo
Mkuu baada ya kuona umecomment nilikua na comment hapo kwamba nikuache na huyu kijana umweke sawa maana naona ananichosha tu, kumbe na wewe umegundua kijana tumeshampoteza.Huyu akili yake ni ndogo, anapaswa abustiwe kidogo.
Sikia bro nimeongelea kwa upande wa gender jinsi gani ilivyo mtengeneza mwanaume na mwanamke we Leo ulivyo ni kwasababu ya Jamii ulio kulia wewe kwaio Kuna Mambo ambayo Jamii yako ukiyafanya we ni sawa yaani mwanaume Kuna vitu anaweza kuvifanya kutokana na Jamii yake na pia Kuna vitu mwanamke hawezi kuvifanya Kama mwanamke mfano jamiii fulan mwanamke hakutakiwa kuongea ambapo mwanaume anapo ongea na kufanya maamuzi kwaio kitu hiko kilimfanya mwanamke awe obdient kwa mwanaumeKwa hyo katika sex ndio kuna tofauti kati na mwanaume ila katika gender hakuna tofauti ?! Yani mwanamke anaweza kubeba zege kama mwanaume ?! Kuna mkuu hapo juu amecomment kua wewe ushoga unakunyemelea kua makini dogo.
Mkuu nataka kujua jambo, umelelewa na single mother sio ?! Yani wewe na Ashura hamko tofauti ?! Aiseee Mungu waepushe watoto wangu wa kiume na hii mentality.
Mkuu baada ya kuona umecomment nilikua na comment hapo kwamba nikuache na huyu kijana umweke sawa maana naona ananichosha tu, kumbe na wewe umegundua kijana tumeshampoteza.
Gender ni nini ? Tupe faida.We umeongelea upande wa sex ambao ni biological concept kwaio biological ndio inayo mtofautisha mwanamke na mwanaume that why mwanamke ana beba mimba lakini mwanaume hawezi beba mimba kwaio kwa upande wako upo sahihi kwa sex lakini sio gender ukiweza kuelewa kwaza tofauti ya gender na sex unaweza elewa Nini na maanisha soma Tena kwa umakini sex sijaigusia kwasababu nitakuja kuielezea baadae