titomganwa
Senior Member
- Oct 12, 2010
- 126
- 62
Watanzania tulio wengi ni shida!
Hili suala la escrow nionavyo mimi ni jambo rahisi sana. Fedha za escrow haziwezi kuwa ni za umma kama tunavyosadikishwa kwa nguvu kubwa. Kuna upotoshaji wa wazi tena ni wa makusudi. Inamaana umeme Haukuzalishwa? TaNesco walikuwa wanalipa against what? Walikurupuka tu na kuziweka fedha kwenye account ya escrow bila sababu?
Kuhusu kodi, kodi si mamlaka husika zilisamehe? Ni kodi ngapi zina samehewa na hatuhoji?
Kafulila si muungwana. Hili nimeliamini katika sakata hili la fedha ya escrow. Muda wote akipewa nafasi anauambia umma kuwa tumeibiwa bil 306. Wakati PAC imetuambia ni arround bil 21. Hii imethibitika kuwa ni uongo wa wazi. Na kafulila anatafuta ushindi wala hajali ukweli
Ingawa sijawahi kuwa na chama, siwashauri tuweke akili zetu mifukoni na tukawaruhusu wapotoshaji wafikirie kwa niaba yetu. Haijalishi kama wazungumzaji nibakina lisu, kunjombe au kafulila. Kama hawasemi ukweli tuwapuuze.
Inasikitisha kuona suala la msingi kama hili linageuzwa kuwa kioja cha ubishani.
Nashauri wataalam wa TRA, Takukuru, polisi na mahakama watusaidie kufumbua hili. Wabunge wameshindwa.
Kafulila katika hili si mkweli. Binafsi imeniuma kuona kuna watu wanatafutavushindi wala si ukweli. Katika hili mimi sioni mantiki. Ushaniki ni kitu kibaya sana hususan kwa mambo yanayoweza kuhatarisha amani ya taifa.
Kafulila, tuhurumieni wenzenu huku. Zungumzeni ukweli toka nafsini mwenu.
Uchunguzi gani tena huo unaoutaka? CAG na Takukuru walishachunguza na ripoti zipo mezani tatizo ni vilaza wetu walioko pale bungeni kuzielewa. Kuna kitu kiko wazi sana ambacho CAG amekisema lakini kwa namna ya ajabu hakuna mtu anayekizungumzia kwamba ndicho kinakata mzizi wa fitina. CAG kapiga hesabu zake na kukokotoa zipi ni pesa za IPTL na zipi ni za Tanesco na kupata jibu kwamba pesa zote zililzokuwepo kwenye akaunt ya escrow bilioni 306 zilitakiwa zirudi Tanesco na bado Tanesco iendelee kuidai IPTL bilioni 15 ili kufanya hesabu yote ya pesa za Tanesco kuwa bilioni 321. Ni kitu gani hakipo wazi hapo; hata hao kina Zitto wababaishaji tu wataulizaje swali ambalo liko wazi namna hiyo?Watanzania tulio wengi ni shida! Hili suala la escrow nionavyo mimi ni jambo rahisi sana. Fedha za escrow haziwezi kuwa ni za umma kama tunavyosadikishwa kwa nguvu kubwa. Kuna upotoshaji wa wazi tena ni wa makusudi. Inamaana umeme Haukuzalishwa? TaNesco walikuwa wanalipa against what? Walikurupuka tu na kuziweka fedha kwenye account ya escrow bila sababu? Kuhusu kodi, kodi si mamlaka husika zilisamehe? Ni kodi ngapi zina samehewa na hatuhoji? Kafulila si muungwana. Hili nimeliamini katika sakata hili la fedha ya escrow. Muda wote akipewa nafasi anauambia umma kuwa tumeibiwa bil 306. Wakati PAC imetuambia ni arround bil 21. Hii imethibitika kuwa ni uongo wa wazi. Na kafulila anatafuta ushindi wala hajali ukweli Ingawa sijawahi kuwa na chama, siwashauri tuweke akili zetu mifukoni na tukawaruhusu wapotoshaji wafikirie kwa niaba yetu. Haijalishi kama wazungumzaji nibakina lisu, kunjombe au kafulila. Kama hawasemi ukweli tuwapuuze. Inasikitisha kuona suala la msingi kama hili linageuzwa kuwa kioja cha ubishani. Nashauri wataalam wa TRA, Takukuru, polisi na mahakama watusaidie kufumbua hili. Wabunge wameshindwa.
Watanzania tulio wengi ni shida!
Hili suala la escrow nionavyo mimi ni jambo rahisi sana. Fedha za escrow haziwezi kuwa ni za umma kama tunavyosadikishwa kwa nguvu kubwa. Kuna upotoshaji wa wazi tena ni wa makusudi. Inamaana umeme Haukuzalishwa? TaNesco walikuwa wanalipa against what? Walikurupuka tu na kuziweka fedha kwenye account ya escrow bila sababu?
Kuhusu kodi, kodi si mamlaka husika zilisamehe? Ni kodi ngapi zina samehewa na hatuhoji?
Kafulila si muungwana. Hili nimeliamini katika sakata hili la fedha ya escrow. Muda wote akipewa nafasi anauambia umma kuwa tumeibiwa bil 306. Wakati PAC imetuambia ni arround bil 21. Hii imethibitika kuwa ni uongo wa wazi. Na kafulila anatafuta ushindi wala hajali ukweli
Ingawa sijawahi kuwa na chama, siwashauri tuweke akili zetu mifukoni na tukawaruhusu wapotoshaji wafikirie kwa niaba yetu. Haijalishi kama wazungumzaji nibakina lisu, kunjombe au kafulila. Kama hawasemi ukweli tuwapuuze.
Inasikitisha kuona suala la msingi kama hili linageuzwa kuwa kioja cha ubishani.
Nashauri wataalam wa TRA, Takukuru, polisi na mahakama watusaidie kufumbua hili. Wabunge wameshindwa.
Ukiwa mbumbumbu wakati mwingine ni heri kukaa kimya kuliko ku expose ujinga wako hadharani.Watanzania tulio wengi ni shida!