Muhongo anajiharishia kwenye suruali kwa sasa.Duh,muhongo anahali gani sijui?
Tena wooote kuanzia wabunge hadi mawaziri.Wachangiaji wa leo mmenirudishia furaha yangu.
Huku pia tanescoccm wamekata umeme tusitazame bunge,ila namshukuru Dr Mengi kwani ITV na RADIO ONE watarudia
Huku arusha umeme umekatika pia ila tuko na jenereta zitto ni jembe ni jiwe lilikokataliwa na waashi(chadema)
Kwa kweli hili limekuwa funzo kubwa kwa umoja wa kitaifa na dhana ya kuwawajinisha wanaokwenda kinyume na maadili.Kwahili nimemsifia sana Zitto tupo pamoja ingawa upande wa Usaliti wa Chama natofautiana nae,lakini pia nawasifu sana wabunge wa vyama vyote walioweka mbele maslahi ya nchi bila kujari uvyama.Mungu awabariki!