masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,625
- 14,591
Kwa kweli hata kabla ya kuhitimishwa kwa mjadala wa Escrow account, nimependezwa sana msimamo wa umoja katika kulitazama suala la wizi wa fedha za umma zilizomo katika Escrow account.
Nimewaona wabunge, mawaziri, wenyeviti wa kamati mbali mbali, wote wamempinga wazi wazi waziri Muhongo na wahujumu wengine.
Hili ni funzo kubwa kwa wale wana CCM waliokuwa na maoni potofu, na hivyo basi kushabikia wezi na si CCM.
Cha kujivunia ni kwamba wabunge wote na wa vyama vyote walionyesha msimamo unaofanana-kuitetea nchi na Taifa.
Kwa hili Mungu awalinde.